Nenda Garage za Tegeta upande wa pili wa kibo complexHabari wanajamvi,
Kwa wakaazi wa jiji la darslam nauliza wapi naweza pata garage nzuri au wataalam wa gari za mistubish SUV wasio na longo longo.
Hio gari peleka Japan tu. Hapa bongo hamna mafundi wa pajero
Na mafundi wazuri wa honda CRV wako wapi?Garage ya kishua nenda Evolution Garage karibu na mataa ya Kamata. Ilala mafundi wa Pajero wapo kibao mitaa ya Shaurimoyo na Arusha
Proffesional, Nenda Evolution garage,Keko garage,Gajjar AutogarageHawa ni mafundi bubu sio professional