Garage bora kwa Mistubish

Garage bora kwa Mistubish

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
478
Reaction score
585
Habari wanajamvi,
Kwa wakaazi wa jiji la darslam nauliza wapi naweza pata garage nzuri au wataalam wa gari za mistubish SUV wasio na longo longo.
 
Hiyo gari inabidi utulie sana kwenye kutafuta garage yenye mafundi wazuri la sivyo utakuja kujuta
 
Garage ya kishua nenda Evolution Garage karibu na mataa ya Kamata. Ilala mafundi wa Pajero wapo kibao mitaa ya Shaurimoyo na Arusha
 
Back
Top Bottom