Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Huyu hayuko seriousMkuu hiyo bei kiboko mimi nimenunua allion mils 15 hivi total mpaka naiendesha nimekaa nayo miaka miwili na nimeiuza mils 12.
Unless hiyo allion yake iwe ya 2010+
Kwa hiyo ya 2007 sidhani kama inabidi iuzwe zaidi ya 20 mls
Huyu hayuko serious
Allion for 26.5m! .Must be kidding, or it's brand new?
Naye ameshasema kuuza imekuwa ngumu ndio maana anataka gereji yenye fundi mzuri ambadilishie mfumo aweze kwenda nayo akatumie huko.Allion mill 26.5 this is a joke. Na yu wont sell it hata utangaze miak 10
Uko serious kweli...?? Allion kwa bei hiyo...!!Nauza Tsh 26.5 million.
Hiyo bei kubwa sana, MTU kwa bei hiyo anapata Harrier safii
Angalia hiyo picha, utaona bei za Allion 2007 zinazouzwa kwenye www.zoomtanzaniaUko serious kweli...?? Allion kwa bei hiyo...!!
Ndo maana hujapata mnunuziNauza Tsh 26.5 million.
Ngoja tusubiri. Nimesikia ikifika Nairobi, kuna garage zinaweza kuhamisha steering. Bei sijajua bado.Ndo maana hujapata mnunuzi
Akiongeza kidogo anapata ndinga kali
Kwanza siku hiz mil 20 unapata gari kali sana
Mmm nafikiri Nairobi utapata brother kwa sababu ndo chimbuko cha bodi za hizi busNgoja tusubiri. Nimesikia ikifika Nairobi, kuna garage zinaweza kuhamisha steering. Bei sijajua bado.
Umeshaitumia kwa muda gani?Angalia hiyo picha, utaona bei za Allion 2007 zinazouzwa kwenye www.zoomtanzania
Nilinunua Dec 2015, lakini haijatembea kilomita 2000 kuanzia siku ilifika.Umeshaitumia kwa muda gani?
Wakati mwingine ni ngumu kuuza gari kwa bei sawa na uliyonunulia...!