Garage gani inaweza geuza Toyota Allion LHD iwe RHD?

Garage gani inaweza geuza Toyota Allion LHD iwe RHD?

Mkuu hiyo bei kiboko mimi nimenunua allion mils 15 hivi total mpaka naiendesha nimekaa nayo miaka miwili na nimeiuza mils 12.
Unless hiyo allion yake iwe ya 2010+
Kwa hiyo ya 2007 sidhani kama inabidi iuzwe zaidi ya 20 mls
Huyu hayuko serious
 

Attachments

  • IMAG0085.jpg
    IMAG0085.jpg
    270.9 KB · Views: 88
Allion mill 26.5 this is a joke. Na yu wont sell it hata utangaze miak 10
Naye ameshasema kuuza imekuwa ngumu ndio maana anataka gereji yenye fundi mzuri ambadilishie mfumo aweze kwenda nayo akatumie huko.

Naona tumebadilisha mada yake na kumuanzishia mada mpya.
 
Usiuze kwa kuangalia zoom wanauzaje. Nimeona watu wanauza 16 na 17 milioni za 2007 kama yako. Huwezi kuuza kwa 20 mkuu.
 
Ndo maana hujapata mnunuzi
Akiongeza kidogo anapata ndinga kali

Kwanza siku hiz mil 20 unapata gari kali sana
Ngoja tusubiri. Nimesikia ikifika Nairobi, kuna garage zinaweza kuhamisha steering. Bei sijajua bado.
 
Ngoja tusubiri. Nimesikia ikifika Nairobi, kuna garage zinaweza kuhamisha steering. Bei sijajua bado.
Mmm nafikiri Nairobi utapata brother kwa sababu ndo chimbuko cha bodi za hizi bus
Zhongtong
 
Umeshaitumia kwa muda gani?
Wakati mwingine ni ngumu kuuza gari kwa bei sawa na uliyonunulia...!
Nilinunua Dec 2015, lakini haijatembea kilomita 2000 kuanzia siku ilifika.
Wanunuzi siwapati. Bei ni kuelewana.
 
Back
Top Bottom