Garage inayoweza kukata na kuunda board ya gari.

hoffman

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
309
Reaction score
477
Ninataka kuagiza gari aina ya Suzuki jimny, ikifika niikate iwe kama pick up.
kwa yeyote mwenye uzoefu na garage nzuri inayoweza kuniundia anisaidie mawasiliano.
 
Utaharibu gari mkuu. Hakuna mzungu mshenzi kiasi hicho kusingekuwa na Pickup.

Siyo kwamba unachotaka kufanya hakiwezekani hapana. Ila gari itaharibika hata mwaka hautaisha utapack trust me.
 
Mkuu nimeona watu wengi hapa bongo wamezikata, lakini nikavutiwa design moja toka you tube, nakifikiri nikipata garage nzuri wanishauri kitaalam.
 
Ukinunua hiyo gari ndo tutakuelekeza pa kulikatia hatuwezi kujadili mambo ya kusadikika!
Mkuu nataka nihakikishe mipango yote imekaa sawa kama bajeti, muda gani wanatumia, wapi karibu kwangu, na ushauri wao pia ni muhimu kwangu.
 
Upo wap mkuu kama upo dar kuna gerej moja hapa sinza africa sana .huwa wanaunda magari yale ya watalii naamini wanaweza kukufanyia kazi yako mkuu
 
Nipo Dar mkuu, ipo upande upi kama unatokea shekilango, wazungu wanasema asante.
 
Unafaham kampuni ya china security??. Ambao wanalinda vituo vya mwendo kasi?? Ofisi yao ilipo ndio humo humo kuna hao mafundi?? Machalii wa arusha..au nyuma ya mwana mboka..au kama huto jari ni PM nikutumie namba zao
 
Nimefanya hivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom