jamani wachina c mafundi bari wao wanahajiri mafundi mimi nimefanya kazi kwa wachina kunyoosha na kupiga rangi yahani wako hovyo kabisa wao ukipeleka gari iliyo pata hatari wao hawanyooshi bali kama ni mrango ndo umeumia wanatoa na kuweka mpya ndo maana wanakuwa bei kubwa