GARAGE nzuri kwa kupaka rangi za magari

GARAGE nzuri kwa kupaka rangi za magari

jamani wachina c mafundi bari wao wanahajiri mafundi mimi nimefanya kazi kwa wachina kunyoosha na kupiga rangi yahani wako hovyo kabisa wao ukipeleka gari iliyo pata hatari wao hawanyooshi bali kama ni mrango ndo umeumia wanatoa na kuweka mpya ndo maana wanakuwa bei kubwa
 
na pia fundi kama fundi ni vigum kutamka bei iliyo sahihi bila kuiona gari yenyewe iko kwenye hari gani
 
Back
Top Bottom