kuna kipindi nilitaka niachane nae ila sikupata sababu mbadala ya kumwacha zaid ya cash, nisipo mpa anakosa raha siku nzma.... Ila kitaeleweka tu
usimuache aisee, hiyo tabia inarekebishika.
Bora huyo mpenda pesa kuliko angekuwa mzinzi.
Nenda nae taratibu ataelewa tu.
Chukulia hiyo ni sehemu ya mapungufu yake. Au umesahau kuwa binadamu hatujakamilika.
ni mzuri sana kila kitu anafanya sawa na ni mkarimu wa hali ya juu kwangu hata kwa ndugu na jamaa wengine, knye mechi nimepita sehemu nyingi sana ila mechi yake ni yakiwango cha juu sana ila tatizo ndio hapo knye cash na matumizi tu pananikera
Mfundishe money management, anatakiwa ajue kipato chako na asijilinganishe na watu aishi kwa kadri ya hali yako ilivyo, hata kama hela zipo asifanye matumizi yasiyo ya lazima siyo lazima aende saloon ya 50,000/= kwa wiki anaweza akaenda za uswahilini kwetu za 5000. na hiyo biashara usikubali ife kama kweli una future naye