Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
kuna kipindi nilitaka niachane nae ila sikupata sababu mbadala ya kumwacha zaid ya cash, nisipo mpa anakosa raha siku nzma.... Ila kitaeleweka tu
usimuache aisee, hiyo tabia inarekebishika.
Bora huyo mpenda pesa kuliko angekuwa mzinzi.
Nenda nae taratibu ataelewa tu.
Chukulia hiyo ni sehemu ya mapungufu yake. Au umesahau kuwa binadamu hatujakamilika.