GARDENING AND LANDSCAPING DESIGN

GARDENING AND LANDSCAPING DESIGN

Pedeshee212

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
30
Reaction score
48
Unaweza kutumia mfumo wa Slabs kuzunguka eneo lako lote ambalo limepandwa ukoka au kutengeneza njia za kwenye ukoka kutoka kwenye varanda ya nyumba yako ili KUPUNGUZA kiwango cha joto ndani na nje ya makazi Yako. Faida kubwa ya kupanda ukoka Aina ya Canadian, ni KUPUNGUZA kiwango kikubwa cha joto Pamoja na mionzi ya jua ambayo inaweza kuathiri nguvu ya uoni/kuona(Lenzi). Huduma zangu ni bora kabisaa na za kitaalam zinazotolewa kwa gharama nafuu mnoo. Nipigie : 0714693107 View attachment 3196343View attachment 3196344View attachment 3196345
download%20(6).jpg
 
Back
Top Bottom