Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Alifanyaga remix ya wimbo wa zilipendwa . ....shooga utanionea buure ...shooga sina kosa naww ....ushoga wetu ulianza tangu utoto ...tulichezea vifuu ..na sasa tuna wajukuu ....oooh sipendi matata ... Remember?
Ulishawahi kusikia mtu anazoea kula na kuaamu kupiga ndefu? Labda kama ulioa kwa fasheni otherwise, utataka kula kila siku... hilo la watoto, ndo maana nasema nasubiri nizeeke zeeke kwanza... halafu we HOE inaelekea bado upo under age... wenzako wanavyopenda hizo za alfajiri afu we unasema hutaki!!! Mi mwenyewe, usiku niwe nimepiga menu hadi kuvimbiwa, lakini alfajiri LAZIMA tuhitimishe karamu!
Mahakama haina haki ya kuvunja ndoa iliyofungwa kanisani/ msikitini. Mfano ndoa za kikristu haswa katholic ni ngumu kuvinjwa hadi kibali kitoke vatican.
Kuwa simple au mzito ni maamuzi tu... hata hiyo breakfast ya wote tu inatofautiana... wakati kuna wanaopiga andazi moja na chai kikombe, kuna wengine shart chapati kwa supu, pembeni kuna mtori na wengine sharti wapige magimbi na mihogo ya kuchemsha, na ukienda Usukumani si ajabu ukakutana na dongo la asubuhi subuhi lakini zote ni break fast! Lakini kwa breakfast hii maalumu inawezekana kabisa kuipa hadhi ya dinner... na kama hamuwezi kuipa hadhi ya dinner au lunch ni heri mkaacha kabisa kuliko kupashana moto na dakika chache baadae kila mmoja anaelekea kwake... itakuwa kupeana mtihani sasa!Aaaah wapiii!!!
Breakfast ni breakfast tu....and it is meant to be simple......ni nzuri kupashia viungo tu ili kuchangamsha mwili!
Ah! We bhana tangu utangaziwe uchumba na Le Mutuz wala huaminiki tena... Le Mutuz akiongea kitu kidogo tu, unajichekesha hadi unadondosha hand bag, aaaaargh... mambo gani hayo!
Ngojea kwanza baba Askofu...hick hick hick koh koh koh:glasses-nerdy:
Mahakama haina haki ya kuvunja ndoa iliyofungwa kanisani/ msikitini. Mfano ndoa za kikristu haswa katholic ni ngumu kuvinjwa hadi kibali kitoke vatican.
Hadi kibali kitoke Vatican??? duh
We ukisikia watu wanachoka hadi wanashindwa ligwaride jua wazee hao... kijana hachoki kihivyo hata siku moja hata kama ni mvunja kokoto labda awe mlevi mbwa! Yaani kagoli kamoja tuwili chali? usin'tanie... nimekuwa braza kingunge, au? Hebu jaribu siku moja mechi ipigwe mida ya saa 10 alfajiri... hadi mida ya kwenda kazini, ushakula tatu zako safi, tena sio zile za uchoyo za upande mmoja bali ni zile zile za participatory goals scoring... kama si 3-3, basi 3-2 na usishangae scoreboard yako ikaonesha wewe ndo mshindi!Hahaaaaaa wanichekesha sana ujue LOL.. uchovu ukizidi match unapiga kizembe.. kama ulitakiwa kufunga goli 3 we wafunga moja kitu chali... Morning glory muhimu ila sasa we utakua busy kwenda kazini hatuwezi kuziienjoy tena lol
Achana naye huyo hajui lolote ndoa zote Mahakama ina mamlaka ya kuzivunja ikijiridhisha au kwa hiyari ya wanandoa.
Kibali cha kutoka Vatican kinamuhusu Padre anayetaka kujiondowa kwenye utawa ili aweze kuoa, na kwa kifupi kanisa halijishughurishi na talaka labda upatanisho tu, sasa huyo Papa wake anayeruhusu talaka ni wa kichina huyo.
Huna lolote, hapa unajishong'ondoa tu... c ajabu akitokea Le Mutuz hapa na kuanza kukuita my beib nifah, taratiiibu utaanza kujichekesha chekesha hapa afu unadai eti anakuchekesha!Hahahahaaaaah yani nimecheka haifai kusema.....Mimi namkubali Le Mutuz long time jamani...ananiachaga hoi kweli yani...shahidi yangu Ruttashobolwa....
We ukisikia watu wanachoka hadi wanashindwa ligwaride jua wazee hao... kijana hachoki kihivyo hata siku moja hata kama ni mvunja kokoto labda awe mlevi mbwa! Yaani kagoli kamoja tuwili chali? usin'tanie... nimekuwa braza kingunge, au? Hebu jaribu siku moja mechi ipigwe mida ya saa 10 alfajiri... hadi mida ya kwenda kazini, ushakula tatu zako safi, tena sio zile za uchoyo za upande mmoja bali ni zile zile za participatory goals scoring... kama si 3-3, basi 3-2 na usishangae scoreboard yako ikaonesha wewe ndo mshindi!
Kumbe sasa tunapishana wapi?! manake ni kweli nakumbuka kwamba you've no problem kwa Gardner ku-claim anachostahili.... sasa tunapishana wapi?
Nimeona process ni ndefu mambo ya kwenda Vatican wapitishe irudi
Hahaaaa Mpwa wangi bwana sikuwezi eti papa wa kichina
No... Jide hakuwa selfish wala Gardener hakuwa selfish... ni basi tu shetani kawazidi nguvu! Kuhusu kama ingekuwa mimi ningefanya hivyo, nimeshakupa jibu kwamba ningefanya coz' nisipomuamini wife nitamuamini nani tena?! Wife is the only person next to my mum lakini kwavile siwezi kushirikiana na my mom basi wife ndie best suit! Sasa kama humuamini mke au mumeo wako kwanini unaoa au kuolewa? Kama shida ni kufungua zipu, unaweza kufungua zipu bila kuoa! Kama shida ni watoto unaweza kupata watoto bila kuoa! Kwangu mimi ndoa ni kutafuta mshirika wa kuaminika! Ndugu yako anaweza kuwa mshirika wako lakini ndugu yako hawezi kuwa na uchungu na wanao wakati na yeye anao wake kama ambavyo mke au mme wako anavyoweza kuwa na uchungu! Mwanamke mpumbavu na mwanaume mpumbavu ni yule hata mnaposhirikiana anaamua kukuibia ili awe na cha kwake peke yake simply because s/he feels so insecure lakini ndugu yako anaweza kukuibia kwavile ni kweli anahitaji kuwa na chake kv chako si chake!
Ingekuwa mahaba yanaazimishana, ningemuazima huyo wako halafu uje huku kufanya case study ya mwezi mmoja halafu mie bize kama kawa halafu tuone kama itatokea siku score board ikakosa ku-record 3-3. 3-2,3-1! Hao wanaodanganyia uchovu wanatafuta visababu tu... in short ni wenyewe chovu chovu na sio uchovu... hivi we HOE hiyo kitu unaijua vizuri au unafanya kuisikia tu kwenye simulizi? Watu wanatolea nyumba afu atokee mwingine aseme anakuwa na uchovu hadi anashindwa kula?Hahaaa hivi tumeanzia wapi tukajikuta tunaangukia kwenye hii mada lol.. kuna mahali nilikua nasoma wati wanalalamika mwanaume anapiga KAMOJA tu hoi ye anamwacha anahemea juu kilima cha mlima Kilimanjaro anaonaga kwenye picha tu hajawahi fika.. sababu wanazotoa wenzi wao eti uchovu we jifanye busy amkamate mtu amkunje kihaswa shauri yako
Dah, we ndo zaidi aisee...We mjanja sana!
Mwanaume ana haki ya kudai talaka na Mahakama ikijiridhisha ndoa hiyo haiwezi kusimama tena mahakama inaivunja ndoa rasmi with divorce decree.