Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Alifanyaga remix ya wimbo wa zilipendwa . ....shooga utanionea buure ...shooga sina kosa naww ....ushoga wetu ulianza tangu utoto ...tulichezea vifuu ..na sasa tuna wajukuu ....oooh sipendi matata ... Remember?

Now I do remember thanks Mkuu.. shoga nimeukumbuka sasa
 
Ulishawahi kusikia mtu anazoea kula na kuaamu kupiga ndefu? Labda kama ulioa kwa fasheni otherwise, utataka kula kila siku... hilo la watoto, ndo maana nasema nasubiri nizeeke zeeke kwanza... halafu we HOE inaelekea bado upo under age... wenzako wanavyopenda hizo za alfajiri afu we unasema hutaki!!! Mi mwenyewe, usiku niwe nimepiga menu hadi kuvimbiwa, lakini alfajiri LAZIMA tuhitimishe karamu!

Hahaaaaaa wanichekesha sana ujue LOL.. uchovu ukizidi match unapiga kizembe.. kama ulitakiwa kufunga goli 3 we wafunga moja kitu chali... Morning glory muhimu ila sasa we utakua busy kwenda kazini hatuwezi kuziienjoy tena lol
 
Aaaah wapiii!!!
Breakfast ni breakfast tu....and it is meant to be simple......ni nzuri kupashia viungo tu ili kuchangamsha mwili!
Kuwa simple au mzito ni maamuzi tu... hata hiyo breakfast ya wote tu inatofautiana... wakati kuna wanaopiga andazi moja na chai kikombe, kuna wengine shart chapati kwa supu, pembeni kuna mtori na wengine sharti wapige magimbi na mihogo ya kuchemsha, na ukienda Usukumani si ajabu ukakutana na dongo la asubuhi subuhi lakini zote ni break fast! Lakini kwa breakfast hii maalumu inawezekana kabisa kuipa hadhi ya dinner... na kama hamuwezi kuipa hadhi ya dinner au lunch ni heri mkaacha kabisa kuliko kupashana moto na dakika chache baadae kila mmoja anaelekea kwake... itakuwa kupeana mtihani sasa!
 
Ah! We bhana tangu utangaziwe uchumba na Le Mutuz wala huaminiki tena... Le Mutuz akiongea kitu kidogo tu, unajichekesha hadi unadondosha hand bag, aaaaargh... mambo gani hayo!

Hahahahaaaaah yani nimecheka haifai kusema.....Mimi namkubali Le Mutuz long time jamani...ananiachaga hoi kweli yani...shahidi yangu Ruttashobolwa....
 
Last edited by a moderator:
Mahakama haina haki ya kuvunja ndoa iliyofungwa kanisani/ msikitini. Mfano ndoa za kikristu haswa katholic ni ngumu kuvinjwa hadi kibali kitoke vatican.

Kakudanganya nani? Mimi ni mkatoliki tena ninayejitambuwa, ndoa zote unazozijuwa wewe marriage certificate zinatoka serikalini na Mahakama ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina mamlaka ya kuvunja ndoa yoyote ile. Wake up and open ur eyes acha kukalili.

Hakuna cha kibali kutoka Vatican, who is Pope in our Admistration?

Ndio unavyodanganywa hivi na katekista wako au Walei?
 
Hadi kibali kitoke Vatican??? duh

Achana naye huyo hajui lolote ndoa zote Mahakama ina mamlaka ya kuzivunja ikijiridhisha au kwa hiyari ya wanandoa.

Kibali cha kutoka Vatican kinamuhusu Padre anayetaka kujiondowa kwenye utawa ili aweze kuoa, na kwa kifupi kanisa halijishughurishi na talaka labda upatanisho tu, sasa huyo Papa wake anayeruhusu talaka ni wa kichina huyo.
 
Hahaaaaaa wanichekesha sana ujue LOL.. uchovu ukizidi match unapiga kizembe.. kama ulitakiwa kufunga goli 3 we wafunga moja kitu chali... Morning glory muhimu ila sasa we utakua busy kwenda kazini hatuwezi kuziienjoy tena lol
We ukisikia watu wanachoka hadi wanashindwa ligwaride jua wazee hao... kijana hachoki kihivyo hata siku moja hata kama ni mvunja kokoto labda awe mlevi mbwa! Yaani kagoli kamoja tuwili chali? usin'tanie... nimekuwa braza kingunge, au? Hebu jaribu siku moja mechi ipigwe mida ya saa 10 alfajiri... hadi mida ya kwenda kazini, ushakula tatu zako safi, tena sio zile za uchoyo za upande mmoja bali ni zile zile za participatory goals scoring... kama si 3-3, basi 3-2 na usishangae scoreboard yako ikaonesha wewe ndo mshindi!
 
Achana naye huyo hajui lolote ndoa zote Mahakama ina mamlaka ya kuzivunja ikijiridhisha au kwa hiyari ya wanandoa.

Kibali cha kutoka Vatican kinamuhusu Padre anayetaka kujiondowa kwenye utawa ili aweze kuoa, na kwa kifupi kanisa halijishughurishi na talaka labda upatanisho tu, sasa huyo Papa wake anayeruhusu talaka ni wa kichina huyo.

Nimeona process ni ndefu mambo ya kwenda Vatican wapitishe irudi

Hahaaaa Mpwa wangi bwana sikuwezi eti papa wa kichina
 
Hahahahaaaaah yani nimecheka haifai kusema.....Mimi namkubali Le Mutuz long time jamani...ananiachaga hoi kweli yani...shahidi yangu Ruttashobolwa....
Huna lolote, hapa unajishong'ondoa tu... c ajabu akitokea Le Mutuz hapa na kuanza kukuita my beib nifah, taratiiibu utaanza kujichekesha chekesha hapa afu unadai eti anakuchekesha!
 
Last edited by a moderator:
We ukisikia watu wanachoka hadi wanashindwa ligwaride jua wazee hao... kijana hachoki kihivyo hata siku moja hata kama ni mvunja kokoto labda awe mlevi mbwa! Yaani kagoli kamoja tuwili chali? usin'tanie... nimekuwa braza kingunge, au? Hebu jaribu siku moja mechi ipigwe mida ya saa 10 alfajiri... hadi mida ya kwenda kazini, ushakula tatu zako safi, tena sio zile za uchoyo za upande mmoja bali ni zile zile za participatory goals scoring... kama si 3-3, basi 3-2 na usishangae scoreboard yako ikaonesha wewe ndo mshindi!

Hahaaa hivi tumeanzia wapi tukajikuta tunaangukia kwenye hii mada lol.. kuna mahali nilikua nasoma wati wanalalamika mwanaume anapiga KAMOJA tu hoi ye anamwacha anahemea juu kilima cha mlima Kilimanjaro anaonaga kwenye picha tu hajawahi fika.. sababu wanazotoa wenzi wao eti uchovu we jifanye busy amkamate mtu amkunje kihaswa shauri yako
 
Nimeona process ni ndefu mambo ya kwenda Vatican wapitishe irudi

Hahaaaa Mpwa wangi bwana sikuwezi eti papa wa kichina

Hakuna cha papa wala kipapa ndoa yoyote ile ikikushinda unafile divorse mahakamani ndio maana hatushauriwi kukurupukia ndoa, wengi wanaowana kwa kupenda harusi tu lakini hawajui ni kwa nini wameowana.
 
No... Jide hakuwa selfish wala Gardener hakuwa selfish... ni basi tu shetani kawazidi nguvu! Kuhusu kama ingekuwa mimi ningefanya hivyo, nimeshakupa jibu kwamba ningefanya coz' nisipomuamini wife nitamuamini nani tena?! Wife is the only person next to my mum lakini kwavile siwezi kushirikiana na my mom basi wife ndie best suit! Sasa kama humuamini mke au mumeo wako kwanini unaoa au kuolewa? Kama shida ni kufungua zipu, unaweza kufungua zipu bila kuoa! Kama shida ni watoto unaweza kupata watoto bila kuoa! Kwangu mimi ndoa ni kutafuta mshirika wa kuaminika! Ndugu yako anaweza kuwa mshirika wako lakini ndugu yako hawezi kuwa na uchungu na wanao wakati na yeye anao wake kama ambavyo mke au mme wako anavyoweza kuwa na uchungu! Mwanamke mpumbavu na mwanaume mpumbavu ni yule hata mnaposhirikiana anaamua kukuibia ili awe na cha kwake peke yake simply because s/he feels so insecure lakini ndugu yako anaweza kukuibia kwavile ni kweli anahitaji kuwa na chake kv chako si chake!

Sawa mkuu!
 
Gadner nfiyo zake yeye huwa ni Mario na lengo lake ni kuvizia wanawake wenye hela. Akishawapata anawanyonya kama infants vile. Huo ni mchongo wa hela. Na muda atampata tena mwanamke mwenye hela ili achune. Design ya wanaume kama mabinti na kina Yahya.
 
Hahaaa hivi tumeanzia wapi tukajikuta tunaangukia kwenye hii mada lol.. kuna mahali nilikua nasoma wati wanalalamika mwanaume anapiga KAMOJA tu hoi ye anamwacha anahemea juu kilima cha mlima Kilimanjaro anaonaga kwenye picha tu hajawahi fika.. sababu wanazotoa wenzi wao eti uchovu we jifanye busy amkamate mtu amkunje kihaswa shauri yako
Ingekuwa mahaba yanaazimishana, ningemuazima huyo wako halafu uje huku kufanya case study ya mwezi mmoja halafu mie bize kama kawa halafu tuone kama itatokea siku score board ikakosa ku-record 3-3. 3-2,3-1! Hao wanaodanganyia uchovu wanatafuta visababu tu... in short ni wenyewe chovu chovu na sio uchovu... hivi we HOE hiyo kitu unaijua vizuri au unafanya kuisikia tu kwenye simulizi? Watu wanatolea nyumba afu atokee mwingine aseme anakuwa na uchovu hadi anashindwa kula?
 
Mwanaume ana haki ya kudai talaka na Mahakama ikijiridhisha ndoa hiyo haiwezi kusimama tena mahakama inaivunja ndoa rasmi with divorce decree.

Mkuu ufafanuzi kidogo. Hivi ana haki ya kudai talaka au kutoa maana nijuavyo mimi wanaume huwa wanatoa talaka na sio kudai talaka.
 
Naiwe fundisho kwa wanaume ote wenyetabia kamaza Gardner wanao penda kuolewa ukiolwa na mwanamke anae kuzidi uwezo lazimama unyanyaswe sasa gardner kwamawazo mgando anataka wagawane wakati alikua ameolewa Et tugawane tulicho chuma ote hicho mlicho chuma ni nini? Matembele au Machungwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom