Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Najua kuwa vyeti vintoka serikalini alakini ndoa ya kidini utavunjwa hukohuko nenda mahakamani cha kwanza utaambiwa uende kwa viongozi wako wa dini

Kakudanganya nani? Mimi ni mkatoliki tena ninayejitambuwa, ndoa zote unazozijuwa wewe marriage certificate zinatoka serikalini na Mahakama ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina mamlaka ya kuvunja ndoa yoyote ile. Wake up and open ur eyes acha kukalili.

Hakuna cha kibali kutoka Vatican, who is Pope in our Admistration?

Ndio unavyodanganywa hivi na katekista wako au Walei?
 
Hii inataka kufanana na ya Frola na Mbasha. Haki idaiwe! Men emancipation!
 
Kwa nini asidai mgawanyo wa mali ilimradi aliishi nae na wakachuma pamoja? Msijifanye kuwa anachokifanya nyie hamtakifanya tena nyie ndio mngehakimisha hapati hata mia bora yeye anayeomba mgawanyo wa mali kwa haki na ndoa iwe annulled ili awe huru kila mtu afanye ya kwake. Yule kikongwe asepe atafute kiserengeti kingine if at all Gardner alikuwa serengeti kama mnavyosema.
 
do it gadner,maneno ya watu yasiurudishe nyuma,the truth ni wamba gadne una mchango mkubwa sana kweny mafanikio ya jidei even darely to say kwamba bila wewe jide asingefika hapo alipo
 
do it gadner,maneno ya watu yasiurudishe nyuma,the truth ni wamba gadne una mchango mkubwa sana kweny mafanikio ya jidei even darely to say kwamba bila wewe jide asingefika hapo alipo
Si ndio hapo, yani wanawake wanavyopenda vya bure, mwanaume ameishi nawe miaka karibu kumi, unataka kusema hana mchango wowote? Basi wale wanawake magolikipa wangekuwa hawapewi mgawanyo. Yani upoteze miaka yote ushazeeka na kizee kile halafu uondoke bila mgawanyo then how will you start over? What about haki yako? Kina Tiger Woods wenyewe wakidai talaka wanagawana mali na wake zao sembuse wewe mtanzania masikini wa mwisho duniani mpaka mbinguni?
 
Si ndio hapo, yani wanawake wanavyopenda vya bure, mwanaume ameishi nawe miaka karibu kumi, unataka kusema hana mchango wowote? Basi wale wanawake magolikipa wangekuwa hawapewi mgawanyo. Yani upoteze miaka yote ushazeeka na kizee kile halafu uondoke bila mgawanyo then how will you start over? What about haki yako? Kina Tiger Woods wenyewe wakidai talaka wanagawana mali na wake zao sembuse wewe mtanzania masikini wa mwisho duniani mpaka mbinguni?

mkuu jamii za kiafrika zina mtatizo sanawanawake wanapenda kuona wao tu ndo wanahaki katka ndoayani mwanamke akishakua na kipato kilichomzidi mwanaume kidogo basi ni shiiiida,hebu tubadilike jamani wanaume nao wana haki hata kama ni golikipa ebooo
 
mkuu jamii za kiafrika zina mtatizo sanawanawake wanapenda kuona wao tu ndo wanahaki katka ndoayani mwanamke akishakua na kipato kilichomzidi mwanaume kidogo basi ni shiiiida,hebu tubadilike jamani wanaume nao wana haki hata kama ni golikipa ebooo[/QUOTE

Waafrika tuna shida kubwa sana
 
Gardner hakutegemea mke wote walitegemeana....kama mke na mme yamefika mwisho kieleweke akapate mtoto wa ukubwani....tena.....😡
 
bora hata jdee amezaliwa ili wanaume waelewe jinsi ukikaa na mtu kisa kakuzidi kipato akikuacha bila mali inauma. wanawake huwa wanapewa maana wanafanya kazi za ndani. gardner naye vipi haaaaa nimeipenda hiii
 
bora hata jdee amezaliwa ili wanaume waelewe jinsi ukikaa na mtu kisa kakuzidi kipato akikuacha bila mali inauma. wanawake huwa wanapewa maana wanafanya kazi za ndani. gardner naye vipi haaaaa nimeipenda hiii

Kazi za ndani ni kudinyana naamini hiyo gadner kafanya kufagia kupika ni beki 3
 
Kuna watu mmeongea kwa hisia sijui ni mamariooo 😈😈😈😈😈😈?????siku zenu na nyie zinakuja???? ^hahaaaa
 

Mke wa Gardner G Habash, Judith Wambura Mbibo, ‘Lady Jaydee’ akipozi.


Prizenta aliyetua Radio E-FM hivi karibuni akitokea Radio Times FM, Gardner G Habash ‘Kapteini’ anadaiwa kumpandisha kortini mkewe, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ kisa kikisemekana ni mgawanyo wa mali hivyo anataka haki yake baada ya kuwepo kwa madai mazito ya ndoa yao kuvunjika.Kwa mujibu wa madai hayo, inasemekana kwamba Gardner amekimbilia mahakamani akidai apewe talaka na waweze kugawana mali walizochuma wote ili kila mmoja achukue hamsini zake.

Chanzo hicho ambacho ni mtu wa karibu wa familia hiyo kililiambia gazeti hili kwamba, siku chache baada ya kutengana na huku hali ikizidi kuwa mbaya, mtangazaji huyo alichukua hatua ya kutafuta msaada kwa wanasheria.
“Msinitaje jina ila ninachowaambia ni kwamba Gardner tayari ameshampata mwanasheria anataka kumshitaki Jaydee.

“Anachohitaji ni kugawana mali zao, kila mtu afanye maisha yake na ukiangalia tu Gardner hana mpango tena wa kuendelea na maisha ya ndoa na Jaydee ila Jide yeye bado ana matumaini ya kurudiana wawe pamoja na hasa kinachomuuma ni kugawana mali.

“Yaani Gardner ameshafanya kila aina ya jitihada ya kutaka waachane kiroho safi lakini Jaydee anaonekana kutokubaliana na wazo hilo kwani anaogopa ule usemi kwamba mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:“Ishu ya kugawana mali ya Gardner na Jide ndiyo habari ya mjini na ili jamaa apate chake ameona heri atafute mkono wa sheria.”

Chanzo hicho kiliendelea kumwaga ‘ubuyu’ kwamba, kitendo cha Jaydee kutangaza kubadili mwelekeo wa mali zake akianza kwa kubadili jina la ule mgahawa wake kutoka lile la Nyumbani Lounge na kuuita M.O.G ndicho kimemshtua Gardner na watu wake wa karibu.

Kilendelea kudai kwamba, pia ishu ya Jaydee kubadili jina la Bendi ya Machozi na kuiita Lady Jaydee and the Band, nayo imemchochea Gardner na kuamua kukimbilia mahakamani. Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili lilimtafuta Gardner ili aweke wazi madai ya kutaka kumburuza mahakamani mkewe huyo na haya ndiyo majibu yake mafupi: “Kaka kusema kweli hiyo ishu nashindwa kuizungumzia maana hata sijui wewe umeipata wapi dah.”

Gardner na Jaydee ambao walifunga ndoa mwaka 2005, wamekuwa wakidaiwa kuwa hawapo pamoja tena huku majukumu ya mtangazaji huyo ambaye alikuwa meneja wa mwanamuziki huyo yakichukuliwa na ndugu wa Jide ambaye ni msanii wa Bongo Fleva aitwaye Wakazi.


Chanzo: GPL



Mastaa wa bongo bhana utawapenda tu
 
Mwanamme hapewi talaka katika Kiswahili.

Mwanamme anatoa talaka.

Huyo Gardner alioa au aliolewa?
 
Mwanamme hapewi talaka katika Kiswahili.

Mwanamme anatoa talaka.

Huyo Gardner alioa au aliolewa?

Katika kiswahili na kisheria mwanaume anaomba mahakama ivunje ndoa yao na ndipo kesi uanza na mahakama ikijiridhisha kwa vigezo vyake inatamka kuivunja rasmi ndoa husika na kutoa divorce decree.
 
Nimeipenda sana hii comment yako ingawa sheria siijui vizur lkn kama nimeelewa unamaanisha ni vzur kusainishana mali zako ulizokua nazo kabla ya ndoa hazitahusika kwenye mgao siku ndoa ikibuma?? Pls nijuze
kugawana mali ni ktu cha kawaida ndo ndoa izi za kibongo tunakataa kusainishana pre nap madhara ndo aya!!! human being always refuses to be realistic.
 
Back
Top Bottom