kivuli kikwapi ktk giza
Member
- Jan 3, 2016
- 29
- 3
Me naona sawa tu kutegemea Na kipato chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiri utakuja na facts.Kipato cha Mtangazaji wa Radio ni kidogo ikiwa utaangalia mshahara lakini watangazaji wa kariba ya Gadna mshahara ni sehemu tu ya mapato yake! Wanapata pesa ya kutosha kupitia jingles na commission ya matangazo! Hizi radio maarufu watu wanazitumia ku-facilitate tu mambo yao ndo maana ukimchukuwa mtu kama kipanya; mara ya kwanza alitoswa Clouds wakati KP Wears ipo juu lakini still KP alilalamika sana kutolewa Clouds cuz in one way or another Clouds ilikuwa in asidi sana kuifanya KP i-shine! Ukitaka kufahamu power ya Clouds kwa watu dizaini ya Gadna; mtafute Kibonde just for your own research halafu mwambie una shughuli yako na ungependa awe MC!
Wamasai wana msemo...''Kupata pesa sio tatizo,Tazizo ni Fedha hizo unazifanyia nini ?..?".....Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.
Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Nonsense, Clouds walipe 3M per month it will never happen on earthTry to be serious 3m unaujua wewe lakini?
Mie buku 2..kwa siku yanitosha sana na familia yangu.Wekeni nanyo ya kwenu tuone.
Facts za nini?! Hoja ni kwamba you can do your own research halafu unataka tena uwekewe figures? Sasa kulikuwa na maana gani basi ya kusema tafiti? Btw the way, unataka uwekewe risiti; au?!Nilifikiri utakuja na facts.
Mbona uko very concern! Unalishwa?Hajawai kuangaikia chochote cha Jide kamuachia kila kitu ajachukua ata kandambili japo alitakiwa apate mgao kisheria... Ila sura nzito ndio anaangaika it means ndio anaeumia.
Unalipwa kwa utetezi wewe sio bure!Mara laki kwa siku mara laki 3 povu linakutoka.
Nani kakwambia clouds wana scale moja ya mshahara?
Hivi unajua Masoud Kipanya analipwa kiasi gani?
Acha chuki za kijinga, Gadna anafanya maisha yake mlifikiri akiondoka kwa bibi atafeli sasa maisha yake yanamuendea poa inawaumiza.
Mimi naspend 1mil per day!!Watanzania bwana kila MTU anaweza kuongea bila vidhibitisho ilimradi tu aonekane wa maana. OK Mimi natumia lakini tano kwa siku.
Sishangai wewe kuishangaa million 3 kama mshahara.. Nakumbuka nilikuwa nafanya mradi mmoja wa wa Danish, basi ilikuwa wakija wabongo kunegotiate mshahara na wazungu mtu akitaja kiwango kikubwa basi ni mil 1 wengi laki 7 mpaka 8.. Kama wewe uhoni value yako hakuna atayekupa hiyo value. 3m ni salary ya kawaida sana kuna tahasisi nyingi tu hapa mjini wanalipa ata fresh from school jiongeze mkuu.Milioni Tatu sio hela ya kutisha sana... lakini unapoongelea mshahara wa milioni tatu hicho ni kitu kingine kaka,,,, acha ujivuni nilikuwa kwenye ajira kwa miaka 15 ,,,,, watu wanaopokea 3M kila baada ya siku 24/26 sio wengi kihivyo kaka...
sidhani kama Gadner anapokea 3M kwa mwezi aisee japo inawezekana.... najaribu kumuangalia ana impact gani ktk kuiingizia kampuni kwa mwezi sioni,,, waajiri wengi wanampa mtu mshahara kwa kuangalia uwezo wake ktk kuchangia/kukuza kampuni
Unawatafutia watu BAN kilazima?.anyway unazitumikia jiwe tano za watu vizuri?Mbona mi sina kazi ila natumia laki 5 kila week
tatizo siyo laki tatizo kila siku msimpinge kwa kuwa mnachuki nae pia msikubali kwakuwa wengne mnampenda jiulizeni nan anajua maisha yake au mnamskia redioni tu
Anatumia laki moja,,, labda analipiwa hiyo, si kazoea dezodezo....Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.
My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.