Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Nilifikiri utakuja na facts.
 
Kutumia laki kwa siku sio tatizo, Yeye anatakiwa kusema natumia laki kwa siku kama ifuatavyo, mafuta ya gari elfu 30, chakula elfu 20, nahonga elfu 30 na elfu 20 nalewa kila siku baasi, angeeleweka tu.
 
Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Wamasai wana msemo...''Kupata pesa sio tatizo,Tazizo ni Fedha hizo unazifanyia nini ?..?".....
 
Huyu bwana na tatizo la UCHUNGU moyoni mwake...ndio maana yote haya hutokea....ana takiwa kufanyiwa ushauri nasaha......
 
Nilifikiri utakuja na facts.
Facts za nini?! Hoja ni kwamba you can do your own research halafu unataka tena uwekewe figures? Sasa kulikuwa na maana gani basi ya kusema tafiti? Btw the way, unataka uwekewe risiti; au?!
 
Unalipwa kwa utetezi wewe sio bure!
 
Matumizi sio tatizo,tatizo source ya hiyo matumizi a.k.a kipato
 
Inawezekana ukizingatia gari analotumia Disc 4 cc 4500 mafuta tu hyo laki haitoshi...na ukilinganisha mshahara wake 9.5m bas laki ni ndogo sana kwake
 
Sishangai wewe kuishangaa million 3 kama mshahara.. Nakumbuka nilikuwa nafanya mradi mmoja wa wa Danish, basi ilikuwa wakija wabongo kunegotiate mshahara na wazungu mtu akitaja kiwango kikubwa basi ni mil 1 wengi laki 7 mpaka 8.. Kama wewe uhoni value yako hakuna atayekupa hiyo value. 3m ni salary ya kawaida sana kuna tahasisi nyingi tu hapa mjini wanalipa ata fresh from school jiongeze mkuu.
 
Huwa natumia tsh 3750 kwa siku.

Kwa mchanganuo ufuatao[emoji116] [emoji116] [emoji116]

Chai=tsh 750.

Nyama = robo kilo 1500

Nyanya= 500

Vitunguu = 500.

Hoho = 500.

NB:,mafuta ninayo,nishati ninayo

Sipandi basi kwenda mjini natumia baiskeli ya gia .

Vocha ni Mara moja kwa wiki .

Maji ya kunywa nabeba .

Sinywi bia wala soda .

Hiyo mboga nashushia na nguna ya dona imejaa kiroba ,mahindi nilipewa toka huku kamsamba swax( sumbawanga)

Mshahara wangu ni tsh 72845.99/= baada ya makato[emoji3]

Maisha burudani kabisa sina stress
 
Keep commenting on this topic guys until we have 300 comments
 
he needs to grow up
Yani alijitapa on air anatumia laki kwa siku lolest
 
Anatumia laki moja,,, labda analipiwa hiyo, si kazoea dezodezo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…