Tusipende kujisifudakujisif: 16188179 said:Mjadala huu una tija gani. ..!??
Tafuta exposure dogo uwezi kuipata huko Kariakoo.. Mshahara wa milioni 3 unaona mwingi?Try to be serious 3m unaujua wewe lakini?
hakuna mtu ana wivu na pesa zake, wala hujui mm natumia ngapi kwa siku, ila kwanini anapenda kujisifu ujinga, kusema kamkojoza mtu hadharani ni jambo zuri kwa mtanganzaji kama yeye, pia kujisifu matumizi mbele za jamii ni jambo jema, sijasikia akijisifu kalisha masikini wangapi wala kachangia jamii kiasi gani..Hivi nyie mna tatizo gani hampendi kusikia habari nzuri ya Gadna?
Huyo sura ngumu si alisema yeye ndio anamtunza sasa anaishi maisha yake bado inawaumiza.. Gadna tuko nae batani daily ingekuwa bado yupo kwenye ndoa mngesema za yule uso mgumu ila sasa mnalialia tu.
LAKI si pesa
Kwani laki kitu gani?
Acheni sifa, eti laki sio pesa mmetisha sana .......wakati kumpa hela demu wako hata elfu 50 tu ya matumizi utalalama weee na utakuja mpaka jf kulalamika kuwa demu wako anapiga vizinga..grow up guysHako ka hela kiduchu sana tena kwa mtu kama celeb.
Hajawai kuangaikia chochote cha Jide kamuachia kila kitu ajachukua ata kandambili japo alitakiwa apate mgao kisheria... Ila sura nzito ndio anaangaika it means ndio anaeumia.Angekuwa na pesa asingehaika kutaka apewe mali za Jide kama mafao yake ya ndoa.
Ulifanya kazi gani Clouds?Tafuta exposure dogo uwezi kuipata huko Kariakoo.. Mshahara wa milioni 3 unaona mwingi?
Mimi niliipwa huo nikiwa junior position kipindi hicho.
Jifunze kutumia JF kwanza ndio utapata akili ya kuelewa content ya post za wenye akili.Ulifanya kazi gani Clouds?