Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

[/QUOTE]
Huyo Ruge mwenyewe hafikishi mil 2[/QUOTE]

Ruge hiyo ni pesa anatengeneza kwa siku tu.. Ukizungumzia clouds Ukizungumzia roho yao ambayo ni Ruge kumbuka ilo.
 
Watu hatuwezi kufanana. Everyone is a unique being. Lakini nafikiri kuna tatizo iko mahali kwa homeboy wangu. Hana checks and balances! Am not judging him though....maana kila mtu ana haki ya kuishi vyovyote atakavyo na kusema/kufanya chochote atakacho bila kuingiliwa na mtu yeyote ili mradi tu havunji sheria.
 
Hivi nyie mna tatizo gani hampendi kusikia habari nzuri ya Gadna?

Huyo sura ngumu si alisema yeye ndio anamtunza sasa anaishi maisha yake bado inawaumiza.. Gadna tuko nae batani daily ingekuwa bado yupo kwenye ndoa mngesema za yule uso mgumu ila sasa mnalialia tu.
hakuna mtu ana wivu na pesa zake, wala hujui mm natumia ngapi kwa siku, ila kwanini anapenda kujisifu ujinga, kusema kamkojoza mtu hadharani ni jambo zuri kwa mtanganzaji kama yeye, pia kujisifu matumizi mbele za jamii ni jambo jema, sijasikia akijisifu kalisha masikini wangapi wala kachangia jamii kiasi gani..
 
Sawa TE="kabanga, post: 16188295, member: 63346"]Sawa kabisa[/QUOTE]
Sawa nini sasa?
 
Nani alimuuliza hilo swali? Au anko mkojozaji anatafuta kick kwamba hakuwa malioo wa aliyekojozwa?
 
Back
Top Bottom