Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Jifunze kutumia JF kwanza ndio utapata akili ya kuelewa content ya post za wenye akili.
Wewe ndiyo ujifunze kuelewa mada. Issue ni Gardner kutumia 3000000 kwa mwezi wakati Clouds hawana scale ya mshahara huo. Lakini wewe unakuja kututajia mahahara wako uliowahi kulipwa. Uhusiano uko wapi sasa?
 
Wewe ndiyo ujifunze kuelewa mada. Issue ni Gardner kutumia 3000000 kwa mwezi wakati Clouds hawana scale ya mshahara huo. Lakini wewe unakuja kututajia mahahara wako uliowahi kulipwa. Uhusiano uko wapi sasa?

Mara laki kwa siku mara laki 3 povu linakutoka.

Nani kakwambia clouds wana scale moja ya mshahara?

Hivi unajua Masoud Kipanya analipwa kiasi gani?

Acha chuki za kijinga, Gadna anafanya maisha yake mlifikiri akiondoka kwa bibi atafeli sasa maisha yake yanamuendea poa inawaumiza.
 
Wapi nimeandika laki 3 kwa siku? Hivi unajua kusoma kweli kakangu?
 
Tafuta exposure dogo uwezi kuipata huko Kariakoo.. Mshahara wa milioni 3 unaona mwingi?

Mimi niliipwa huo nikiwa junior position kipindi hicho.
Wapi huko mkuu, tupeane hata nafasi mbona mnakula shavu pekeenu
 
[QUOTRugewr gentleman, post: 16187548, member: 95717"]Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Huyo Ruge mwenyewe hafikishi mil 2[/QUOTE]



Nahisi unaweza ukawa na clues za pale mjengoni, Ruge analipwa pesa ngapi kwa mwezi pale clouds@jane
 
Huyu jamaa kuna kitu anataka lipua nini?? Mbona yuko hewani sana siku hizi??
 
mbona wanafunzi elimu ya juu budget yao ya kula ni ten kutoka bodi ya mikopo, yeye mtumishi ndo ashindwe kutumia laki? pale kuna mafuta ya gari, yeye msosi a wholy day, hela ya kuacha home, kidogo bia mbili tatu! bhapo bado mambo ya kukojozana, haa mbona haitoshi kwa maisha ya dsm! tafuta pesa gadner. chezea pesa usichezee kazi
 

None sense!!
 
Acheni sifa, eti laki sio pesa mmetisha sana .......wakati kumpa hela demu wako hata elfu 50 tu ya matumizi utalalama weee na utakuja mpaka jf kulalamika kuwa demu wako anapiga vizinga..grow up guys
Demu ndio nini/nani? Unaandika as if wote tuna rika moja humu!
 
hata bakhlesa anaogopa kutumia laki kwa siku...kusaga mwenyewe hatumii hiyo hela...
 
Mbona hela ndogo sana hiyo. waulizeni wazee wa kubet wanaliwa sh ngapi kwa siku na bado wanaendelea kubet kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…