Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oky. Sawa MkuuNimeipata boss!
Atakuwa na vitega uchumi vyake vingine. Kwani imeandikwa wapi kuwa mfanyakazi ataishi kwa mshahara tu?Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.
My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
Umeona eeh. Eti mtangazaji wa radio anatumia laki kwa siku. Kwa asset gani alizonazo?
Mkuu kuna uzi ulinianzishia jana lakini nilipokuwa najaribu kujibu nikawa siioni. But I am very humbled. God bless you so much. Can't believe it. Oooh my GodAtakuwa na vitega uchumi vyake vingine. Kwani imeandikwa wapi kuwa mfanyakazi ataishi kwa mshahara tu?
Karibu... Jisikie uko nyumbani...Mkuu kuna uzi ulinianzishia jana lakini nilipokuwa najaribu kujibu nikawa siioni. But I am very humbled. God bless you so much. Can't believe it. Oooh my God
Gadna hana mipango mingine yoyote zaidi ya kutangaza. Asingefukuzwa na mwanamke. Sanasana kilichomleta Clouds ni baada ya kuona show za fiesta karibu zinaanza ili apate vihela vya kumalizia banda lakeLakini unatakiwa kujua mtu ukishafanya kazi muda mrefu unaweza ukawa na mipango mingine ambayo imeshatulia kwahiyo dependency yako kwenye mshahara inapungua. Mimi sioni ajabu yoyote hata kama ni kweli anaspend hiyo hela.
Usafiri kwa siku arround 30K
Breakfast kazini 5K
Lunch na maji 7K
Vocha, bia jioni na nyama choma na washkaji sio chini ya 25K
Chocolate na pop corns na pringles za kurudi nazo hom kama 10K hivi na hiyo ni siku ya kawaida
Mke wa mtu hawezi kusifiwa na mtu mwingine kuwa kapendeza? Terrible(in french accent)...Halafu eti jana alikuwa anamsifia Malaika eti oohh umependezaaa. Hivi hajui kama yule ni mke wa mtu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkojozaji Gadna G Habash......hahahahahaaa.
Gadna hana mipango mingine yoyote zaidi ya kutangaza. Asingefukuzwa na mwanamke. Sanasana kilichomleta Clouds ni baada ya kuona show za fiesta karibu zinaanza ili apate vihela vya kumalizia banda lake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!Mimi sio kaka yako.
Nna uwezo wa kukukojoza ata 48 hours mfululizo.
Jide kawapa nguvu sana nyie watu naona mnatoa lugha kali kali tu. Nimeona mahali Jide kasema yeye ndo alimuacha jamaa na wewe hapa unasema kamfukuza duh!! Lakini ukweli ni kuwa waliachana
Gadna kaachwa hata Magufuli anajuaJide kawapa nguvu sana nyie watu naona mnatoa lugha kali kali tu. Nimeona mahali Jide kasema yeye ndo alimuacha jamaa na wewe hapa unasema kamfukuza duh!! Lakini ukweli ni kuwa waliachana
Tuko bize sana kufatilia maisha ya watu hii inatokana kukosa kazi. Majungu ni mtaji wa mjinga na masikiniMtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.
My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
We mwenye kazi unafanya nini humu?Tuko bize sana kufatilia maisha ya watu hii inatokana kukosa kazi. Majungu ni mtaji wa mjinga na masikini