Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.

My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
Atakuwa na vitega uchumi vyake vingine. Kwani imeandikwa wapi kuwa mfanyakazi ataishi kwa mshahara tu?
 
Umeona eeh. Eti mtangazaji wa radio anatumia laki kwa siku. Kwa asset gani alizonazo?

Lakini unatakiwa kujua mtu ukishafanya kazi muda mrefu unaweza ukawa na mipango mingine ambayo imeshatulia kwahiyo dependency yako kwenye mshahara inapungua. Mimi sioni ajabu yoyote hata kama ni kweli anaspend hiyo hela.

Usafiri kwa siku arround 30K
Breakfast kazini 5K
Lunch na maji 7K
Vocha, bia jioni na nyama choma na washkaji sio chini ya 25K
Chocolate na pop corns na pringles za kurudi nazo hom kama 10K hivi na hiyo ni siku ya kawaida
 
Hiv huyu mwana shemej mbona saiv anatafuta kick sana au huko alipo kuwepo alikuwa hasikiki.. Ndi ndi ndi imemuamsha
 
Lakini unatakiwa kujua mtu ukishafanya kazi muda mrefu unaweza ukawa na mipango mingine ambayo imeshatulia kwahiyo dependency yako kwenye mshahara inapungua. Mimi sioni ajabu yoyote hata kama ni kweli anaspend hiyo hela.

Usafiri kwa siku arround 30K
Breakfast kazini 5K
Lunch na maji 7K
Vocha, bia jioni na nyama choma na washkaji sio chini ya 25K
Chocolate na pop corns na pringles za kurudi nazo hom kama 10K hivi na hiyo ni siku ya kawaida
Gadna hana mipango mingine yoyote zaidi ya kutangaza. Asingefukuzwa na mwanamke. Sanasana kilichomleta Clouds ni baada ya kuona show za fiesta karibu zinaanza ili apate vihela vya kumalizia banda lake
 
Kama yeye anatumia laki moja, lady jay atakuwa anatumia laki tano kwa siku
 
Gadna hana mipango mingine yoyote zaidi ya kutangaza. Asingefukuzwa na mwanamke. Sanasana kilichomleta Clouds ni baada ya kuona show za fiesta karibu zinaanza ili apate vihela vya kumalizia banda lake

Jide kawapa nguvu sana nyie watu naona mnatoa lugha kali kali tu. Nimeona mahali Jide kasema yeye ndo alimuacha jamaa na wewe hapa unasema kamfukuza duh!! Lakini ukweli ni kuwa waliachana
 
Gadna kaachwa hata Magufuli anajua
 
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.

My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
Tuko bize sana kufatilia maisha ya watu hii inatokana kukosa kazi. Majungu ni mtaji wa mjinga na masikini
 
Huyu si walisema anatumia laki5 kununua #SUPU YA GIGGY MONEY

Sasa kaaanza kuwakojoza wasikilizaji wa Jahazi.
 
Back
Top Bottom