Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Ndugu yangu nimesoma michango ya wengine pia kuwa huyu mwamba analipwa na clouds mill.tatu kwa mwezi na pia hupokea na hela za matangazo.Wamesema pia mshahara huo kwa mtangazaji wa kawaida tu nao ni kitendawili.Siielewi elimu yake naamini ni ya kawaida sana.Hayo matangazo anayoweza kupata yatakuwa machache mno tena ya kubahatisha.Tukubali anapata mshahara huo na akishakatwa kodi anabakiwa na kiasi gani aweze kufanya matumizi ya laki kila siku?Wanaomfahamu wangeshatueleza hapa vitega uchumi vya uhakika anavyomiliki yakiwemo na manyumba.Ila maganji ya kubahatisha hayahesabiki.Mill tatu na isikatwe kodi ni laki kwa siku uzile zote?Angeeleweka angetuambia alishawahi kutumia laki kwa siku tusingehoji.Hayo ni majivuno ya kishamba tu na yaliyopitwa na muda sana? Kina Tibaijuka nao wasemeje kuhusu matumizi?Ningemshauri kama barua ya wanasheria wa Jide imetaja na muda wa kumwomba radhi Jide awahi magazetini kabla ya muda.Kama anajiona ki uchumi yuko vizuri aache sheria ifuate mkondo.
Umeandika mambo meengi ila hskuna la maana uliloandika
 
Wenye pesa zao sasa!
Yaani kila siku inayokwenda jamaa anakata laki?!!! Daaa heri yake
 
Kiukweli Mimi Katumia buku 3 kwa Siku ndo uwezo wangu
Wapo wapuuzi hspa ambao wanatumia buku(1000) tu kwa siku hawawezi kukubali kwamba unatumia. Buku tatu kwa siku,

Kwasababu wao hawana uwezo wanaamini kila mtu hana uwexo kama wao
 
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.

My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.

SAMAHANI KWA KWENDA NJE YA MADA MKUU,

HIVI NI MITAA GANI ZINAUZWA BAISKELI USED AINA YA PHOENIX KWA REJAREJA?
 
Pesa yangu bata zangu naspend na washkaji zangu.. Wewe toa povu tu ila uwezi badilisha chochote.
sina povu, sina haja wala nia wala muda wa kubadilisha chochote maana ni irrelevant na hakuna hoja hapo. Ila ni upuuzi mtu kujikweza eti unakula bata na fulani... bata ni zako, hazituhusu
 
Siwezi kubisha,kwa sababu hajatoa mchanganuo wake kamili,huenda yeye kwa mwezi anatumia milion tatu yani hapo ndo kamaliza matumiz yote ikiwemo kodi bili ya umeme na maji chakula nk,sasa hyo mill 3 ukiigawa kwa siku ndo inaleta laki moja per day.hyo inawezekana.nahisi watu wanadhani matumizi kwa siku yanahusu kula,pesa ya usafiri na starehe tuu bhas.kwani hata kodi ya nyumba ukiigawa kwa 30 si unapata per day unalipa kias gani? sikubali wala sikatai,cjui source zake zote za kipato maana huwez kulimit kuwa yeye ni mtangazaj tuu hana kipato kingine chochote mbali na hcho,pili sijui mchanganuo wa matumizi yake yote kwa mwezi(kila kitu hata mia mbili ya wembe,hata bili kodi na ada mbalimbali)
 
Back
Top Bottom