Tatizo sio kila siku tatizo ni hutaki kuamini kwamba mtu anaweza kutumia laki kwa siku kitu ambacho ni kawaida sana hapa town.tatizo siyo laki tatizo kila siku
Inaonekana unamjua sana GadnerGadna hana mipango mingine yoyote zaidi ya kutangaza. Asingefukuzwa na mwanamke. Sanasana kilichomleta Clouds ni baada ya kuona show za fiesta karibu zinaanza ili apate vihela vya kumalizia banda lake
Huna jipya umbea umekujaa, umajifanya umamjua gadner kumbe hakuna hata moja unalolijuaLaki ni elfu kumi ziwe kumi. Yaani 10,000×10.
Umeandika mambo meengi ila hskuna la maana uliloandikaNdugu yangu nimesoma michango ya wengine pia kuwa huyu mwamba analipwa na clouds mill.tatu kwa mwezi na pia hupokea na hela za matangazo.Wamesema pia mshahara huo kwa mtangazaji wa kawaida tu nao ni kitendawili.Siielewi elimu yake naamini ni ya kawaida sana.Hayo matangazo anayoweza kupata yatakuwa machache mno tena ya kubahatisha.Tukubali anapata mshahara huo na akishakatwa kodi anabakiwa na kiasi gani aweze kufanya matumizi ya laki kila siku?Wanaomfahamu wangeshatueleza hapa vitega uchumi vya uhakika anavyomiliki yakiwemo na manyumba.Ila maganji ya kubahatisha hayahesabiki.Mill tatu na isikatwe kodi ni laki kwa siku uzile zote?Angeeleweka angetuambia alishawahi kutumia laki kwa siku tusingehoji.Hayo ni majivuno ya kishamba tu na yaliyopitwa na muda sana? Kina Tibaijuka nao wasemeje kuhusu matumizi?Ningemshauri kama barua ya wanasheria wa Jide imetaja na muda wa kumwomba radhi Jide awahi magazetini kabla ya muda.Kama anajiona ki uchumi yuko vizuri aache sheria ifuate mkondo.
Wapo wapuuzi hspa ambao wanatumia buku(1000) tu kwa siku hawawezi kukubali kwamba unatumia. Buku tatu kwa siku,Kiukweli Mimi Katumia buku 3 kwa Siku ndo uwezo wangu
Mmmmh!Haya na malaki yenu mwambie mwenzio atafute mawakili na hizo malaki it's on.............Kwani laki kitu gani?
Ishavunjika hakuna cha couple wala coupling ya kwako iko salama chunga sana!Desperate couple.....
Haya Gardner nimekusikiaIshavunjika hakuna cha couple wala coupling ya kwako iko salama chunga sana!
Nitake radhi bana mi sio machukizo kwa jamii!Haya Gardner nimekusikia
lakini siyo wewe wala mzee wa kukojoza mkuuTatizo sio kila siku tatizo ni hutaki kuamini kwamba mtu anaweza kutumia laki kwa siku kitu ambacho ni kawaida sana hapa town.
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.
My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
sina povu, sina haja wala nia wala muda wa kubadilisha chochote maana ni irrelevant na hakuna hoja hapo. Ila ni upuuzi mtu kujikweza eti unakula bata na fulani... bata ni zako, hazituhusuPesa yangu bata zangu naspend na washkaji zangu.. Wewe toa povu tu ila uwezi badilisha chochote.