warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mtangazaji maarufu, na aliyekuwa mume wa mwanamuziki lady Jaydee, Gadner G habash, hivi karibuni ametoa kauli tata baada ya kuulizwa swali na mwandishi kuhusu Lady Jaydee, ambapo bila hiyana Gardner alijibu kama ifuatavyo..
Mwandishi: Habari za kazi?
Gardner: Njema
Mwandishi: Samahani sana nawezaje kupata namba ya simu ya lady jaydee?
Gadner: Mmh!! Kwa kweli siwezi kukupatia kwa sababu mwenyewe hataki kabisa. Sasa kwa sababu hataki,kukupa namba yake ni sawa na kumsaliti.
Kauli hiyo ya mtangazaji huyo ilizua utata, huku baadhi ya wadau wakihoji mahusiano ya wawili hao kama wamerudiana au lah.