Gardner: Siwezi kumsaliti lady jaydee

Gardner: Siwezi kumsaliti lady jaydee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mtangazaji maarufu, na aliyekuwa mume wa mwanamuziki lady Jaydee, Gadner G habash, hivi karibuni ametoa kauli tata baada ya kuulizwa swali na mwandishi kuhusu Lady Jaydee, ambapo bila hiyana Gardner alijibu kama ifuatavyo..

Mwandishi: Habari za kazi?

Gardner: Njema

Mwandishi: Samahani sana nawezaje kupata namba ya simu ya lady jaydee?

Gadner: Mmh!! Kwa kweli siwezi kukupatia kwa sababu mwenyewe hataki kabisa. Sasa kwa sababu hataki,kukupa namba yake ni sawa na kumsaliti.

Kauli hiyo ya mtangazaji huyo ilizua utata, huku baadhi ya wadau wakihoji mahusiano ya wawili hao kama wamerudiana au lah.
 
Hivi siku hizi ni kazi kweli kupata namba ya msanii? Huyo mwandishi ubongo wake haupo vizuri au alikuwa anamdipu Gadner tu,watu wana namba hadi za jay-z na kim kardashian....

Mwandishi alikuwa anatafuta umbea mwingine tu hana lolote na kawakomeshaje sasa
 
Usaliti sio kwenye mapenzi tu,hata kukiuka makubaliano kama hayo.Kwahiyo hakuna haja ya ku doubt kama wametudiana au lah.

Mi Nina hamu warudiane... mwandishi nae alikuwa anataka umbea mwingine tu hana lolote nfyuuu...
 
Jamaa anamdipu……? kweli kun watu wakorofi.

Baadhi ya mastaa kama lady jaydee inawezekana kweli namba yake ikawa hadimu kupatikana kwa sababu sio mtu Wa kujichanganya na sio mtu Wa scandal, sio kama akina mama ubaya akibadilisha namba tu lazima awapigie global kuwataarifu ili wamuandike
 
Baadhi ya mastaa kama lady jaydee inawezekana kweli namba yake ikawa hadimu kupatikana kwa sababu sio mtu Wa kujichanganya na sio mtu Wa scandal, sio kama akina mama ubaya akibadilisha namba tu lazima awapigie global kuwataarifu ili wamuandike

Hivi, mtu akikudipu utafanyaje…?
 
Hahah hasa jamaa si kasen kudipu…?

Mkuu jaribu kumsoma mtu kwanza ili kujua amekosea au hajakosea,kwa mie nilivyokuona unalirudia rudia hilo neno nikakusoma kwamba ni wazi unajua kwamba nimelikosea na ndio maana nimekujibu kwa ku-qoute post zako hizo mbili.
 
Back
Top Bottom