Hivi, mtu akikudipu utafanyaje ?
Mkuu jaribu kumsoma mtu kwanza ili kujua amekosea au hajakosea,kwa mie nilivyokuona unalirudia rudia hilo neno nikakusoma kwamba ni wazi unajua kwamba nimelikosea na ndio maana nimekujibu kwa ku-qoute post zako hizo mbili.

ha ha ha.....! Anamdipi? Safi sana
defence mechanism at work.
Hivi warumi hizi habari Hutungi kweli???? Source yko ni nini?
Hivi siku hizi ni kazi kweli kupata namba ya msanii? Huyo mwandishi ubongo wake haupo vizuri au alikuwa anamdipu Gadner tu,watu wana namba hadi za jay-z na kim kardashian....
Jamaa anamdipu ? kweli kun watu wakorofi.
kudipu umeandika kusudi ama umkosea...maana umnitoa chozi mweeh!!!
Eeh Ku deep au beep binamu? Khaa!!
defence mechanism at work.
Eti huyo nae ni Mwandishi wa Habari....
Dah Gardner katishaa
Binamu mpaka sasa ivi hujalala? Sio umbea huu kwa kweli ahahahahahaha
Ebu pitia post yangu hii kwenye uzi wa chini,Post namba 34 nimetumia hilo neno Beep na Post haija editiwa ipo kama nilivyoipost 18 Feb 2015,Hilo neno Dipu nimeliandika ki-comedy.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
https://www.jamiiforums.com/habari-...m-yana-hitilafu-kimaelezo-2.html#post11938754