Gardner: Siwezi kumsaliti lady jaydee

Gardner: Siwezi kumsaliti lady jaydee

Mkuu jaribu kumsoma mtu kwanza ili kujua amekosea au hajakosea,kwa mie nilivyokuona unalirudia rudia hilo neno nikakusoma kwamba ni wazi unajua kwamba nimelikosea na ndio maana nimekujibu kwa ku-qoute post zako hizo mbili.

Haha nakulewa mkuu..amalinze the cat
 
Mkuu jaribu kumsoma mtu kwanza ili kujua amekosea au hajakosea,kwa mie nilivyokuona unalirudia rudia hilo neno nikakusoma kwamba ni wazi unajua kwamba nimelikosea na ndio maana nimekujibu kwa ku-qoute post zako hizo mbili.

defence mechanism at work.
 
Hivi siku hizi ni kazi kweli kupata namba ya msanii? Huyo mwandishi ubongo wake haupo vizuri au alikuwa anamdipu Gadner tu,watu wana namba hadi za jay-z na kim kardashian....

hahahaha:smile-big::smile-big:
 
swali zuri, hivi anapata wapi muda wa kufatilia kila habari humu?

Mkiambiwa warumi kiboko yao hamtaki kuamini, mie nimethibitishwa na chama cha umbea afrika mashariki hapana chezea kabisa
 
Last edited by a moderator:
hapi bathdei Gardner!... ujipange sasa safari hii wanawarekodi vib...ro vyenu...muishi nao kwa akili
 
Back
Top Bottom