Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo kila nkipiga starter halipokei Moto haliwaki kabisa hata mara moja.
Nimeleta mafundi watatu sasa wanasema wiring ina shida lkn wameshindwa kuliwasha, nllikuwa naombeni ushauri kwani sina experience kubwa
Nini inaweza kuwa shida na pia solution Kama itakuepo tafadhali.
Asante