Gari aina ya Cresta Gx 100

Aisee hii chuma leo nimeionja kuiendesha mwenyewe(ya kuazima[emoji16][emoji16])...ebhana iko fresh japo mwendo ulikua wa KM 92 tu.
 
Gari iko poa kwenye mafuta mchawi foleni kwa wanaoishi pembezoni mwa miji au mikoani wanatamba nayo fresh. Shida nyingine Haliuziki kabisa ata ukitaka milion 2 tu.
Hahaha mtandaoni unakuta zinauzwa mpaka 1.5m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…