EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
engine ya BEAMS 2000 unaijua mkuu??[emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]...town km 10 ka lita kwenye GX 100??
Hata spacio kwa town hupati hizo km..
mi naishi Kiluvya napiga mishe gerezani na kila siku naenda na kurudi kwa mafuta ya ya 150,000 sa piga hesabu na kuna mizunguko mingine napiga pia hapa mjini