Gari aina ya Cresta Gx 100

Gari aina ya Cresta Gx 100

Asasa na kilivyo kidogo vile huwezi linganisha na crown lazima kinajikuta kipo stable zaidi ya crown na kimo chake
Hahahah, uzuri hata suspension wanavyotengeneza wanalimit sana body roll! Tofaut na mjapan ambaye concern hio ndio kwanza ameanza miaka ya hivi karibuni
 
Sifa ya dereva mzuri ni akili kuwa shape
Na maandalizi pia ya akili, maana unapokwenda beyond 100 KPH lazima uwazie worst case scenario, kwamba je kama lori limechochora huko mbele, unafanyaje? Je tairi ikipasuka katika mwendo huo unafanyaje? Je jamaa kama katanua na kajaa upande wako, haoneshi dalili za kusimama, unafanyaje? Ukiwaza hayo nadhani huwezi kwenda beyond 120 KPH.
 
kwaiyo tunao fika hadi 240KMH sie tunakuwaje yani 😀😀.. cha kwanza huwa nakimbiza gari pale tu ambapo barabara naiona kwa umbali mrefu sana ndio utakuta nina mi speed mikubwa ila kama barabara ina shughuli nyingi ni 100. Na ukiwaza hayo yote uliyosema huyokaa uzidi hata 100 😀😀😀😀
 
Siwezi kusema nakuonaje bro, ila nawaza tyre burst na reaction zake ukiwa katika mwendo huo! Nawaza iwapo kuna ng'ombe 500 wanakatisha barabara na wewe ukiwa katika mwendo huo, nawaza iwapo kuna mwehu mmoja katanua upande wa pili kwa sababu anasinzia. Just imagine bro, unacheza na 200 ama 240 kph.
 
kwaiyo tunao fika hadi 240KMH sie tunakuwaje yani 😀😀.. cha kwanza huwa nakimbiza gari pale tu ambapo barabara naiona kwa umbali mrefu sana ndio utakuta nina mi speed mikubwa ila kama barabara ina shughuli nyingi ni 100. Na ukiwaza hayo yote uliyosema huyokaa uzidi hata 100 😀😀😀😀
Once upon a time nilijaribu 150 Kph, nilikua naona barabara ipo nyembamba kama uzi, sijui wewe unaionaje ukiwa kwenye 240 kph
 
150 si haba ni speed kubwa sana hiyo kama hujazoea league za barabarani ni vizuri unaenda zako kawaida ila pia wakati mwingine tunatembea haya maspeed unakuta unaenda mbali na utakiwa haraka haraka kwenye baadhi ya mambo
 
Siwezi kusema nakuonaje bro, ila nawa tyre burst na reaction zake ukiwa katika mwendo huo! Nawaza iwapo kuna ng'ombe 500 wanakatisha barabara na wewe ukiwa katika mwendo huo, nawaza iwapo kuna mwehu mmoja katanua upande wa pili kwa sababu anasinzia. Just imagine bro, unacheza na 200 ama 240 kph.
Hii hapa sikuonaga hata vipande vyake 😀😀😀.. na nilikuwa na 220 ilipochanikia. Mengine tunaepushwa tu mkuu wangu, huwa nakimbiza kwenye barabara amabyo naiona zaidi ya mita kadhaa
4A13E469-FAAA-4A05-BCE7-591781D82509.jpeg
 
Once upon a time nilijaribu 150 Kph, nilikua naona barabara ipo nyembamba kama uzi, sijui wewe unaionaje ukiwa kwenye 240 kph
Mwendo inategemea gari gani, barabara gani na dereva gani. Wengi tunakosea hapo. Unakuta mtu ana gari ya ajabu, barabara haijui na uwezo wake kumudu gari ni mdogo sana. Hapo akienda speed kubwa ni majanga.
 
Back
Top Bottom