Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua bei ya soko ya hilo gari kwa sasa mkuu au unauza jina la gari?!Nimesema Kuna mazungumzo mkuu kama huna hela ya kununua kaa kmy
Usiwe mkali hata kama mazungumzo yapo old model DDY kweli 24m hata kama gari ni matunzo kuna mambo ya kuzingatia si bora nikavute chuma mbichi kuliko old ya mkononiNimesema Kuna mazungumzo mkuu kama huna hela ya kununua kaa kmy
DDY ni 2015 to 2016DDY maana yake uliingiza Tanzania mwaka 2018 au 2019,hayo mahesabu ya 24ml unayatolea wapi?kiazi kweli wewe
Iwe mkononi.Mfukoni utaitoa kwa kinyongo sana.Kumi ipo mfukoni.
Kuna tatizo sehemu alafu Mwanza nahisi hapa ndipo shida inapoanziaUnajua bei ya soko ya hilo gari kwa sasa mkuu au unauza jina la gari?!
Tukicaluculate depreciation ya gari dah labda aliinunua 50mDDY ni 2015 to 2016
😂😂😂😂Msameheni alikosea huendaDDY maana yake uliingiza Tanzania mwaka 2018 au 2019,hayo mahesabu ya 24ml unayatolea wapi?kiazi kweli wewe
Mwaka 2015 hizo gari ukijumlisha na kodi zote ilikuwa haivuki 25 milTukicaluculate depreciation ya gari dah labda aliinunua 50m
DD ni Mwaka 2013-14DDY maana yake uliingiza Tanzania mwaka 2018 au 2019,hayo mahesabu ya 24ml unayatolea wapi?kiazi kweli wewe
Labda jamaa anajifunza kutangaza biShara ya magari ila kwa mtu anaejua gari na bei zake hawezi fikiria hiyo bei hata kwa chembeMwaka 2015 hizo gari ukijumlisha na kodi zote ilikuwa haivuki 25 mil
Mwisho itafika 2007 sasa!😜😜DD ni Mwaka 2013-14
Ila inawezekana hajakosea na analijua jukwaa lake!!! Labda huko aliko kuna wajinga anawabahatisha!! 24 mil kwa harrier yenye karibu miaka 8 mkononi si mchezo ati!!Labda jamaa anajifunza kutangaza biShara ya magari ila kwa mtu anaejua gari na bei zake hawezi fikiria hiyo bei hata kwa chembe
Kwa hiyo litahitaji waganga wa jadi walitakase kutoka katika madhila ya ushuzi na kutumika kama chumba cha faragha?Gari imejambiwa huko mkoani tangu 2015 alafu iuzwe 25m, kweli wasukuma ni washamba sana
Ngoja tuangalie mchezoIla inawezekana hajakosea na analijua jukwaa lake!!! Labda huko aliko kuna wajinga anawabahatisha!! 24 mil kwa harrier yenye karibu miaka 8 mkononi si mchezo ati!!
Tutafute hela tununue 0kmKwa hiyo litahitaji waganga wa jadi walitakase kutoka katika madhila ya ushuzi na kutumika kama chumba cha faragha?