Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa Mwanza

Nimesema Kuna mazungumzo mkuu kama huna hela ya kununua kaa kmy
Usiwe mkali hata kama mazungumzo yapo old model DDY kweli 24m hata kama gari ni matunzo kuna mambo ya kuzingatia si bora nikavute chuma mbichi kuliko old ya mkononi
 
Mwaka 2015 hizo gari ukijumlisha na kodi zote ilikuwa haivuki 25 mil
Labda jamaa anajifunza kutangaza biShara ya magari ila kwa mtu anaejua gari na bei zake hawezi fikiria hiyo bei hata kwa chembe
 
Labda jamaa anajifunza kutangaza biShara ya magari ila kwa mtu anaejua gari na bei zake hawezi fikiria hiyo bei hata kwa chembe
Ila inawezekana hajakosea na analijua jukwaa lake!!! Labda huko aliko kuna wajinga anawabahatisha!! 24 mil kwa harrier yenye karibu miaka 8 mkononi si mchezo ati!!
 
Ila inawezekana hajakosea na analijua jukwaa lake!!! Labda huko aliko kuna wajinga anawabahatisha!! 24 mil kwa harrier yenye karibu miaka 8 mkononi si mchezo ati!!
Ngoja tuangalie mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…