kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Habarini za muda huu wakuu, Katika platform niipendano kabisa hapa duniani ya kwanza ni huu mtandao wa nyumbani tanzania JmaiiForum, nimejifunza vitu vingi sana na kujua mambo mengi sana na kupata msaada mwingi sana kutoka kwa wana jamii wenzangu wa humu ndani, kikubwa ni bando tu.
Ngoja niende kwenye kiini cha mada moja kwa moja:
Nipo hapa jiji la kunenge (jiji la dar es salaam), nataka kununua gari aina ya IST, kwaajili ya kufanya biashara ya UBER na biashara nyinginezo zinazowezekana kufanyika kupitia gari aina ya IST, naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa
1. Je naweza kurudisha gharama nilio nunulia gari ndani ya mwaka mmoja kwa kuitumia hii gari kuniigizia kipato?
2. Pia naombeni mnipe michakato mingine ambayo ntaitumia hii gari katika ili jiji la dar es salaam kuniingizia kipata nje ya UBER?
Note: Katika michakato iyo yote ya kutoa ushauri zingatia Dereva ni mimi mwenyewe na mmiliki ni mimi mwenyewe
assume gari nimenunua 12.0Milion or 12.5Milion (IST)
mawazo yenu bora ndio yatanipa mamui bora zaidi.
Karibuni sana kwa ushauri wenu