GARI AINA YA JEEP BJC

GARI AINA YA JEEP BJC

conservative3

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
1,129
Reaction score
790
Naomba kuuliza kuhusu gari aina ya BJC -jeep.
spea uptaikanaji wake na mambo mengine.muhimu
kuna gari imepaki na mhusika anataka kuniuzia,mimi nimevutiwa na 4wd na shepu yake kwa ujumla
matumizi ya gari ni kwenda kukagua mashamba yangu vijijini.
mwenye gari alikuwa mtumishi wa umma,limepaki .
naomba msaada
nawasilisha
 
Uko mkoa gani, ni gari inayovumilia shida,spea zinapatikana tu kama bei yake si mbaya nenda na mtaalamu wa magari akukagulie then chukua mzigo
 
Back
Top Bottom