Gari aina ya Mazda

Gari aina ya Mazda

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Zinatatizo gani wakuu? Kuna gari nmeiona sehem inauzwa mil 6 tu..
 
Mazda zipo nyingi sana mkuu..unaongelea aina gan?
1499854455858.jpg
 
Mwenye maono tafadhali

Mazda Antezza!!
Binafsi Nimetumia Mazda Kwa Miaka Minne, na katika kipindi chote sijawahi kupata tatizo lolote.
Ni gari Ngumu, Ila lazima uweze kuitunza katika kununua spea ambazo ni bei mkasi,Bei ya spea iko juu kwa sababu
1. Ni Original kbsa
2.Supplier ni Wachache.

Bora Mazda Mara 100 kuliko Toyota.
 
Tafuta mazda rx 8 kama hujazi miss hizo corolla mpk ujute.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Mazda usinunue ya mkononi. Ila ni gari imara sana
 
Mazda Antezza!!
Binafsi Nimetumia Mazda Kwa Miaka Minne, na katika kipindi chote sijawahi kupata tatizo lolote.
Ni gari Ngumu, Ila lazima uweze kuitunza katika kununua spea ambazo ni bei mkasi,Bei ya spea iko juu kwa sababu
1. Ni Original kbsa
2.Supplier ni Wachache.

Bora Mazda Mara 100 kuliko Toyota.

Kumbe wanatutishaga tuu
 
Back
Top Bottom