Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazda zipo nyingi sana mkuu..unaongelea aina gan?Zinatatizo gani wakuu? Kuna gari nmeiona sehem inauzwa mil 6 tu..
Mwenye maono tafadhali
Tafuta mazda rx 8 kama hujazi miss hizo corolla mpk ujute.Mazda Antezza!!
Binafsi Nimetumia Mazda Kwa Miaka Minne, na katika kipindi chote sijawahi kupata tatizo lolote.
Ni gari Ngumu, Ila lazima uweze kuitunza katika kununua spea ambazo ni bei mkasi,Bei ya spea iko juu kwa sababu
1. Ni Original kbsa
2.Supplier ni Wachache.
Bora Mazda Mara 100 kuliko Toyota.
Mazda Antezza!!