Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
Gari aina ya rav 4 milango mitatu inauzwa dollar 1800 ipo vizur kabisa ila imesajiliwa kwa namba za ubalozi imetembea Km 122625 cc 1990 za kuibadili kuja kiraia ni jukumu la atakaee inunua ipo osterbay maongezi yapo.
Shughuli yake kubwa ilikuwa kupeleka watoto shule na sokoni basi.
Mawasiliano
0758556283
MREJESHO :GARI ISHAUZWA .
SHUKRANI SANA JAMII FORUM.
Shughuli yake kubwa ilikuwa kupeleka watoto shule na sokoni basi.
Mawasiliano
0758556283
MREJESHO :GARI ISHAUZWA .
SHUKRANI SANA JAMII FORUM.