Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
- Thread starter
- #61
Toyota Vitz New Model inauzwa gari ni ya mwaka 2005 ina cc 990 piston 3 engine ni Vvti fuel ni petrol imetembea kilomita 97,600 bei ni million 7 na laki 5 gari inapatikana sinza ipo katika hali nzuri kabisa.
Kwa mawasiliano.
0758556283
0719590756
Kwa mawasiliano.
0758556283
0719590756