Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
Unaipata vizur tu mkuu sio lazima kwa dolaliNikiwa na Tshs siwezi kupata mkuu?
Okay!Unaipata vizur tu mkuu sio lazima kwa dolali
Mkuu zidisha mara 2284Okay!
Haya niambie kwa Tshs itakuwa ngapi maana hizi terms za USA sizielewi vizuri.
Mpya inauzwa dollar 1800??? Upya huo wa kilomita 0000 auHela kubwa sana hiyo. Hiyo si unanunua mpya kabisa
Hili gari litakuwa la Ubalozi wa MsumbijiGari aina ya rav 4 milango mitatu inauzwa dollar 1800 ipo vizur kabisa ila imesajiliwa kwa namba za ubalozi shughuli za kuibadili kuja kiraia ni jukumu la atakaee inunua ipo osterbay maongezi yapo.
Shughuli yake kubwa ilikuwa kupeleka watoto shule na sokoni basi.
Mawasiliano
0758556283View attachment 852243View attachment 852244View attachment 852245View attachment 852247View attachment 852248View attachment 852249View attachment 852250
Huo Mkangafu unauzwa $1800 na hapo bado ushuru. Namshauri alipeleke Kibaigwa huko atawapata wengi tu.Hela kubwa sana hiyo. Hiyo si unanunua mpya kabisa
Haina shida mkuu nguvu yako tuHili gari litakuwa la Ubalozi wa Msumbiji
Nimecheka sana wabongo bana kwa ujuaji uje uone gar acha uharibifu wa biashara za watu hio gar sio ya mswahili service had ikatae kuwaka na kila mwez unasafir nayo kwenda mosh kulingishia.Huo Mkangafu unauzwa $1800 na hapo bado ushuru. Namshauri alipeleke Kibaigwa huko atawapata wengi tu.
Mkuu ukiwa unakuja kuichek au kuja kuihakiki njoo na vyombo vyote vya usalama hadi tra
Itakuwa iliuzwa kwa mnada, baada ya kumaliza muda wake kutumika ubalozini
good. Mkuu hebu badilisha sasa hizo fedha kwa pesa yetu itakua sh ngapiMkuu ukiwa unakuja kuichek au kuja kuihakiki njoo na vyombo vyote vya usalama hadi tra
Mkuu gar yabl ubalozi ukiuziwa huachiwi kuondoka na plate namba hata hiyo mtu akijitokeza kuichukua hizo plae namba zinatolewa kurudishwa ubalozini ili ifutwe ktk system isije kutumika ktk mambo ua uhalifuItakuwa iliuzwa kwa mnada, baada ya kumaliza muda wake kutumika ubalozini
sina hakika sana ila nasikia zinadaiwaga kodi ya TRA aikinunuliwa na raiaGari aina ya rav 4 milango mitatu inauzwa dollar 1800 ipo vizur kabisa ila imesajiliwa kwa namba za ubalozi shughuli za kuibadili kuja kiraia ni jukumu la atakaee inunua ipo osterbay maongezi yapo.
Shughuli yake kubwa ilikuwa kupeleka watoto shule na sokoni basi.
Mawasiliano
0758556283View attachment 852243View attachment 852244View attachment 852245View attachment 852247View attachment 852248View attachment 852249View attachment 852250