SOLD: Gari aina ya Rav 4 inauzwa

Status
Not open for further replies.
Toyota Vitz New Model inauzwa gari ni ya mwaka 2005 ina cc 990 piston 3 engine ni Vvti fuel ni petrol imetembea kilomita 97,600 bei ni million 7 na laki 5 gari inapatikana sinza ipo katika hali nzuri kabisa.

Kwa mawasiliano.

0758556283

0719590756

 
Suzuki swift inauzwa gari ni ya mwaka 2004 inetembea kilomita 75333 ina cc 1320 gari ipo katika hali nzuri mno bei yake ni Million 5 na laki 8
Gari inapatikana sinza

Mawasiliano

0758556283
 
Toyota prado ( TX) linuzwa gari ni ya mwaka 1999 limetembea kilomita 186450 lina cc 2980 ingine ni 1hz gari ni ya petrol bei yake ni million 13 gari ipo kwenye hali nzuri gari ipo kariakoo kwa mtu anaetaka kuiona

Mawasiliano.

0758556283

0719590756

 

Attachments

  • IMG-20180915-WA0002.jpg
    84.9 KB · Views: 24
Toyota Carina TI ya mwaka 2000 engine 5A ina cc 1490 imetembea kilomita 100,100 gari ni Automatic inatumia mafuta ya petrol linauzwa milion 7 na laki 3

Geri ipo kwenye hali nzuri kabisa linapatikana sinza.

Kwa mawasiliano

0758556283

0719590756


 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…