beevenom JF-Expert Member Joined May 1, 2017 Posts 313 Reaction score 432 Jan 4, 2018 #1 Wadau habarini,naomba kujua matumizi,upatikanaji wa vifaa,uzito,uimara wa gari aina ya Avensis.
beevenom JF-Expert Member Joined May 1, 2017 Posts 313 Reaction score 432 Jan 5, 2018 Thread starter #3 Wadau naona kimya
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,067 Reaction score 4,434 Jan 5, 2018 #4 Moja ya gari ya toyota ambayo haimilikiwi na watu wengi, sijajuankwa nini, lakini ni moja ya gari za toyota inayokubalika sana uk.
Moja ya gari ya toyota ambayo haimilikiwi na watu wengi, sijajuankwa nini, lakini ni moja ya gari za toyota inayokubalika sana uk.
hatentai JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 705 Reaction score 386 Jan 5, 2018 #5 Tayota evensis ikiwa diesel 2.00 ndio nzuri ukisha badilisha cambeil utafurahi nafsi yako nimeshatumia 7 years now nnayo nimechoka nayo
Tayota evensis ikiwa diesel 2.00 ndio nzuri ukisha badilisha cambeil utafurahi nafsi yako nimeshatumia 7 years now nnayo nimechoka nayo
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 640 Jan 5, 2018 #6 chukua toyota prius 2009 ni moto
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Jan 5, 2018 #7 Ina sura ngumu mkuu.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Jan 6, 2018 #8 Nadhani kwa sababu ya boxy shape ndio maana watu hawalipendi hilo gari ila binafsi ni gari nzuri maana nayo ni corolla family tu kama spacio.
Nadhani kwa sababu ya boxy shape ndio maana watu hawalipendi hilo gari ila binafsi ni gari nzuri maana nayo ni corolla family tu kama spacio.