Gari aina ya Toyota Avensis

Gari aina ya Toyota Avensis

beevenom

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
313
Reaction score
432
Wadau habarini,naomba kujua matumizi,upatikanaji wa vifaa,uzito,uimara wa gari aina ya Avensis.
 
Moja ya gari ya toyota ambayo haimilikiwi na watu wengi, sijajuankwa nini, lakini ni moja ya gari za toyota inayokubalika sana uk.
 
Tayota evensis ikiwa diesel 2.00 ndio nzuri ukisha badilisha cambeil utafurahi nafsi yako nimeshatumia 7 years now nnayo nimechoka nayo
 
chukua toyota prius 2009 ni moto
 
Nadhani kwa sababu ya boxy shape ndio maana watu hawalipendi hilo gari ila binafsi ni gari nzuri maana nayo ni corolla family tu kama spacio.
 
Back
Top Bottom