Likely terminal za battery zimelegeaCheck Terminal za bettry labda kuna kaboni, je ukiweka funguo taa zinawaka na soma kinachoonekana kwa Dashbord
Kama ulinunua kwa mtu chek nae huenda aliweka tracking device huwa sometimes zinazingua. Nilifungaga kwangu kuna wakati najisahau mpaka namuita fundi kumbe ishu ni hiyo gadgetTerminal ziko vizuri. Ukiwasha dashdoard haina tahadhari yoyote. Uikipiga inazungusha lakini haiwaki. Mafuta yako 3/4 ya tank.
Unamaanisha nini unasema gari haiwaki wakati huo unasema kuwa dashboard ina display vizuri? je unamaanisha kuwa gari hai start? manaa kuwaka kwa gari na kustart ni vitu viwili tofauti. Unaposha gari hatua ya kwanza gari linakwenda on hapa ni kuwa mifumo yote inayotumia umeme inakuwa powered on, kisha inafuata kustart gari,Terminal ziko vizuri. Ukiwasha dashdoard haina tahadhari yoyote. Uikipiga inazungusha lakini haiwaki. Mafuta yako 3/4 ya tank.
Unamaanisha nini unasema gari haiwaki wakati huo unasema kuwa dashboard ina display vizuri? je unamaanisha kiuwa gari hai start? manaa kuwaka kwa gari na kustart ni vitu viwili tofauti. Unaposha gari hatua ya kwanza gari linakwenda on hapa ni kuwa mifumo yote inayotumia umeme inakuwa powered on, kisha inafuata kustart gari,
Wanajamvi,
Gari yangu aina ya Toyota Noah, enine yake ni 1AZ, baada ya kukagua maji na oil niliiendesha mita kama 50 hivi nikasimama ili niingie dukani, kabla sijaizima ikazima yenyewe. Baada ya hapo imegoma kuwaka kabisa. Wakati nikiiendesha mpaka inazima haikuonesha tahadhali yoyote kwenye dash board. Kwa wajuzi tatizo itakuwa nini? Naomba mnijuze tafadhali.
Fuel pumpWakuu na mimi nina toyota noah sr40 shida yake haina nguvu yaani hata kimlima kidooooogo inashindwa kupanda, nimesha badili engine oil na plag zote nne lakini bado tatizo lipo, msaada wenu wakuu