Gari aina ya volkswagen Tauran

Gari aina ya volkswagen Tauran

beevenom

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
313
Reaction score
432
Aman iwe nanyi!! Naomba kufahamu kutoka kwenu ninyi wazoefu kuhusiana na gari aina ya volkswagen tauran katika utumiaji wa mafuta,speed/nguvu,spare n. k. Asanteni sana
 
Ila tungepata wataalamu au watumiaji wa Volkswagen hii thread ingetusaidia Wendi sana kwa kweli.
 
Niliwahi kumiliki hii gari ikaleta msiba mkubwa wa kifedha kwangu.
 
mkuu .uwe na bajeti nzuri ya maintanance .mafuta na matengenezo.spare zake ni ghari sana kupita kiasi.

Ila ni gari nzuri sana ya uhakika sana.
 
Hivi Volkswagen kwa centimeter cylinder kunani?...naona wajerumani wana mizuka na cc nyingi!...kitu Touareg kinaenda hadi 4,890 cc[emoji15] [emoji15] ...
 
Hivi Volkswagen kwa centimeter cylinder kunani?...naona wajerumani wana mizuka na cc nyingi!...kitu Touareg kinaenda hadi 4,890 cc[emoji15] [emoji15] ...
Kaza roho tu mkuu ukiipenda hahah,nilishawahi kuulizia just for funny tu consumption ya nissan CIMA ya 2005 v8 cc 4500 nikaishia kukatishwa tamaa balaa,nikaja kukutana na jamaa mmoja kule coco nikakaza roho kumuuliza consumption yake ikoje,jamaa akanionyesha kwny dashboard kitu kinasoma 5.3km/litre teh teh.

Possibly ndinga za wajerumani hazili mafuta kama za wajapani.
 
Back
Top Bottom