Gari ambayo haijawai rudiwa rangi

Gari ambayo haijawai rudiwa rangi

Yaani ukiiona tu, unajua. Unless iwe imepigwa rangi na wataalamu wa hali ya juu sio hawa wa Mwembeni Garage & Autospare.
 
Hivi mie sielewagi mantiki ya watu ku complain gari imerdiwa rangi! Sasa kama kulitokea ulazma ipigwe rangi shida iko wapi? Wangeiacha na mikwaruzo au rangi chakavu iliofubaa?

Gari ni engine na gearbox vikiwa sawa na body liwe halijabondeka sana
 
unajua bongo watu vichwa vimejaa maji, yaani kuifanyia usafi gari inaonekana ni tatizo 🤣
 
Search hiki kitu PosiTest DFT Uangalia kina kazi gani then ucheki Kama Kita relate na Jambo Lako kwa namna yoyote Ile.Nilikiona Garage Nairobi
 
Hivi mie sielewagi mantiki ya watu ku complain gari imerdiwa rangi! Sasa kama kulitokea ulazma ipigwe rangi shida iko wapi? Wangeiacha na mikwaruzo au rangi chakavu iliofubaa?

Gari ni engine na gearbox vikiwa sawa na body liwe halijabondeka sana
😄😄 Na hili sio tatizo letu bongo tu,hata Nigeria nao ukipiga rangi gari tu jua imeisha hio.
 
Hivi mie sielewagi mantiki ya watu ku complain gari imerdiwa rangi! Sasa kama kulitokea ulazma ipigwe rangi shida iko wapi? Wangeiacha na mikwaruzo au rangi chakavu iliofubaa?

Gari ni engine na gearbox vikiwa sawa na body liwe halijabondeka sana

Ina maana body ya Gari ipo Kama ilivyotoka Japan, Ina maana kubwa Sana, Rangi zinaficha damage nyingi Na hupat I uhalisia wa Gari!
 
Back
Top Bottom