Gari ambayo haijawai rudiwa rangi

Gari ambayo haijawai rudiwa rangi

Msaada
Nitaitambuaje gari amabyo haijawai rudiwa rangi?

Angalia Kwenye edges, kuna Sehemu huwa wanafunika wakipiga Rangi, Lazima kunabaki Na Hali Fulani ya kupilizwa.

Mfano ukifangua bonnet Kwenye bawaba Za bonnet, ukifungua taa Kwa ndani, it's so easy!
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Hivi mie sielewagi mantiki ya watu ku complain gari imerdiwa rangi! Sasa kama kulitokea ulazma ipigwe rangi shida iko wapi? Wangeiacha na mikwaruzo au rangi chakavu iliofubaa?

Gari ni engine na gearbox vikiwa sawa na body liwe halijabondeka sana
Oya bablai usitupangie sisi hatutaki iliyorudiwa rangi
 
Sasa kwa gari yangu ambayo bumper limekwaruzika nikiipiga rangi bumper inakuwa na tatizo?

Inategemea Na mnunuzi, kuna minor issues ambazo hazina shida; maana bumper waweza rudishia vizuri!

But Gari ikirudiwa yote is a red flag pengibe kuna serious damage zimefichwa, Ila Kama haijarudiwa inarahisisha kutokagua Sana.

Kama una mpango wa kuuza Gari, avoid Sana kupiga Gari lote, labda iwe Ajali.
 
Leta gari yako nikupigie rangi huwezi jua kama imepigwa. Rangi ni utaalam wa fundi hata kama yuko chini ya mwembe. Unapigiwa rangi mkeka umenyooka safi.

Ofisi ipo kamata karibu na round about ya kwenda bandarin.
 
Back
Top Bottom