Msaada
Nitaitambuaje gari amabyo haijawai rudiwa rangi?
Oya bablai usitupangie sisi hatutaki iliyorudiwa rangiHivi mie sielewagi mantiki ya watu ku complain gari imerdiwa rangi! Sasa kama kulitokea ulazma ipigwe rangi shida iko wapi? Wangeiacha na mikwaruzo au rangi chakavu iliofubaa?
Gari ni engine na gearbox vikiwa sawa na body liwe halijabondeka sana
Aisee mjuba mie sipangi ila tu nashindwa elewaga yaniOya bablai usitupangie sisi hatutaki iliyorudiwa rangi
Sasa kwa gari yangu ambayo bumper limekwaruzika nikiipiga rangi bumper inakuwa na tatizo?