BMW X3 2.5 si 2008Gari yako ni bmw x3 ya mwaka gani?maana tatizo kama ilo lishanikuta ukishajaza upepo utatembea kama ispo futa utaifuta nenda kwenye setting ya tairi utakuta sehemu ya ku reseting sasa sijajua bmw yako niile yenye screen au
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unatakiwa kuifanyia resetting.Wakuu na wajuzi wa mambo ya magari naombeni msaada, jana wakati naendesha Gari (BMW X3) ghafla Alarm ikalia mara moja tu kucheki Dashboard nikaona Tire Pressure Light imewaka, nikajua tatizo ni upepo, kweli nikapita Mahali kwa pressure kucheki Tyre moja ya nyuma ilikuwa na misumari miwili
Basi nikazibiwa pancha, jamaa akanijazia upepo akacheki na tyres zingine kwa mara ya pili zote zilikuwa sawa lakini nilivyowasha gari Ile Taa pale kwa dashboard haijaondoka, yule jamaa aliyenizibia pancha akanambia Hadi nitembee kidogo ndio ikaondoka
Nimeendesha gari umbali wa zaidi ya kilometers 50 lakini Taa Bado inawaka!
Wenye Experience na hizi BMW hii Taa kuwaka ni kwamba itazima yenyewe? au inaondolewaje maana tatizo kwenye mataili hakuna tenaView attachment 2440310
Hiyo sensor inakaa sehem gani ya tyre naomba kujua mkuuHiyo taa huwaka kwa sababu kuu mbili tu.
1. Incorrect tyre pressure. Whether imezidi au imepungua.
2. TPMS sensor mbovu, wabongo wengi wakiziba pancha hizi hawazirudishii na hapo ndio majanga yanaanza.
Hizi sensor jamani hazinaga wires hivyo mawasiliano baina ya hiyo TPMS sensor na gari huwa ni wireless.
Kirefu cha TPMS n nn mkuuSina uhakika ila najua ukiweka kwenye mashine huo mfumo wa TPMS utasoma.
Nina bmw 1series. Hiyo warning light ikiwaka baada ya kujaza upeppo huwa nina reset. Hapo pembeni ya Sterling kuna button ya ku reset. Unaweza pitia hii video..Mkuu BMW X3 hazina hiyo button?
Tire Pressure Management SystemKirefu cha TPMS n nn mkuu
Sensor yake inakaa wapi kwa tyre mkuuTire Pressure Management System
Nyingi zinaunganishwa sehemu ya kujazia upepo.Sensor yake inakaa wapi kwa tyre mkuu
Asante mkuu nimekupataNyingi zinaunganishwa sehemu ya kujazia upepo.
Weee usipuuzie warning yoyote kwenye dashboard unless unatafuta problem series kwenye gari yakoHata kwenye crown moja ilinisumbua sana hiyo warning hadi nilizoe kuiona. Kama linaenda fresh ndio kikubwa yani gari itember
Hii ni kweli kabisa tatizo tunamiliki bm alaf mfuko mkavu. Kuna mwamba petrol station nilikua naweka mafuta kwenye ka tvs kangu full tank kipindi kile ilikua 25100 bas mwamba kaja na washkaj zake yuko na jeep cherokee muundo wa zaman kidogo kaweka wese la 5k mpka nikacheka jamaa wa petrol station anasema ndo kawaida yake anazunguka mchana anaweka tena na jioni anaweka tena muda mwingine anakopa kaacha hadi earpods pale kisa weseUnamiliki BMW x3 kwanini tyre iwe tatizo? Tena zinapaswa kubadilishwa kwa km sio kuangalia kashata.
asilimia kubwa ya gari humu barabarani zina warning kwenye dashboard.. kama za ulaya ndio usisemee , ila tunaishi nazo tuuuWeee usipuuzie warning yoyote kwenye dashboard unless unatafuta problem series kwenye gari yako
asilimia kubwa ya gari humu barabarani zina warning kwenye dashboard.. kama za ulaya ndio usisemee , ila tunaishi nazo tuuu
ilikuwa hatari sana hiyoo.. cheza na vyote hivyo ila Temperature sio ya kucheza nayo, hasa ile unaona inapandaa tuu.. kijasho lazi a kikutoke maana unaweza kaanga mambo live .. na alarm ya oil nayo ya kukaa nayo mvali, ila zingine zinavumilaka tuuu hata mwaka mzima 😆😆😆Bongo ni kawaida saaana sana
Unless ni oil au temperature…hapo lazima upark[emoji1]
Nakumbuka nlishawahi kuwakiwa na taa ya temperature kene mataa morroco ..asee nlitamani kupaa nkapaki gari pembeni..taa nazo haziruhusu alafu nipo mbele nyuma daladala kama zote [emoji23][emoji23].nkiwaza kuzima gari nawaza zile horn ntapigiwa+maaskari wa pale mataa[emoji119]
Asee baadae nlivumilia km dkk 7hivi nkachomoka kwenda kupaki pale TOTAL kuchek engine imechemk inatoa mvuke rejeta inavuja coolant imemwagika.
Iyo inatakiwa ifanyiwe reset na diagnosis machineWakuu na wajuzi wa mambo ya magari naombeni msaada, jana wakati naendesha Gari (BMW X3) ghafla Alarm ikalia mara moja tu kucheki Dashboard nikaona Tire Pressure Light imewaka, nikajua tatizo ni upepo, kweli nikapita Mahali kwa pressure kucheki Tyre moja ya nyuma ilikuwa na misumari miwili
Basi nikazibiwa pancha, jamaa akanijazia upepo akacheki na tyres zingine kwa mara ya pili zote zilikuwa sawa lakini nilivyowasha gari Ile Taa pale kwa dashboard haijaondoka, yule jamaa aliyenizibia pancha akanambia Hadi nitembee kidogo ndio ikaondoka
Nimeendesha gari umbali wa zaidi ya kilometers 50 lakini Taa Bado inawaka!
Wenye Experience na hizi BMW hii Taa kuwaka ni kwamba itazima yenyewe? au inaondolewaje maana tatizo kwenye mataili hakuna tenaView attachment 2440310
Kuna jamaa alinipa lift kwenye BMW nilishangaa kuona taa za warning kwenye dashboard ya gari lake kama 5 zinawaka, nikajisemea moyoni amekosa mafundi wazuri.asilimia kubwa ya gari humu barabarani zina warning kwenye dashboard.. kama za ulaya ndio usisemee , ila tunaishi nazo tuuu