Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka

Ni kweli boss, Wakati mwingine mambo mengine inabidi kuyapuuza kama mfuko umebana. Huwezi acha mambo muhimu unakazana kuzima taa.
Hiyo taa kuwaka sio kawaida,mzungu sio mjinga Kama mbongo ikiwa taa inawaka maana yake Kuna tatizo mahali.

Tatizo letu wabongo na inawezeka a kwasababu ya ujinga wetu,magari yetu tunatengeneza chini ya mwembe.

Sasahivi magari mengi ukiangalia engine Kuna diagnosis box,Ile Ina maana Sana Sasa sisi ni watu wa kupuuza Kila kitu

Madhara yake unaweza usione muda mfupi ujao,ukija shtuka unajuta
 
Sasa kama hela hamna ufanyaje boss? Mfano Mtu umeajiriwa bank, una kipato cha laki saba, umepanga nyumba laki mbili umekopa m18 ukanunua bmw unadhani utakuwa na kipaumbele cha kuzima taa? Itawaka tu.

Kuna vijana wachache sana chini ya 37 yrs wenye uwezo wa kummaintain mjerumani kama inavyotakiwa. Wengi ni kuunga unga tu maisha yaende.
 
Ujue hadi nawaza kutoa hili tairi lililopata pancha niweke spare Tyre nione matokeo yake
 
Sasa kama hela hamna ufanyaje boss? Mfano Mtu umeajiriwa bank, una kipato cha laki saba, umepanga nyumba laki mbili umekopa m18 ukanunua bmw unadhani utakuwa na kipaumbele cha kuzima taa? Itawaka tu.

Kuna vijana wachache sana chini ya 37 yrs wenye uwezo wa kummaintain mjerumani kama inavyotakiwa. Wengi ni kuunga unga tu maisha yaende.
Mshahara laki Saba unakooa 18m!!!kununua gari ya mzungu!daah wasomi mnatuangusha
 
Hahahah kwa hiyo hata akifunga tairi za mchina hata kama kashata zimenyooka bado ngoma itaendelea? 😂😂😂

Hapana jmn, hiyo haihusiani na tyre kuwa kiraka hata kidogo.
Haitakiwi kabisa na wajerumani 😂 muwe mnafata manual jamani, Michelin ama Pirelli ikizingua unanunua tairi mpya.
 
Kwahiyo hii ndio itakuwa style, Yani warning light yeyote ikiwaka kuitoa ni hadi kwa Mashine na sio tatizo likiwa solved

Na gharama zake zikoje?

Soma uelewe, nimekuambia after fixing the problem thereafter go for reset option using diagnostic machine! Reset na mashine ni as cheap as 50,000!

Fix shida
Reset error msg na mashine
Ndio maisha ya gari za kisasa mkuu!
 
Back
Top Bottom