Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka

23m ni pesa. Kununua haya magari huenda ni rahisi, kuyahudumia ni gharama na ndo thamani yake ilipo.

Hiyo taa aliyeiweka hapo ameiweka kukuonyesha kuwa tairi zina tatizo, kama umeziba pancha na haizimi basi ni kubadili tairi ndo suluhu. Unless sensa ina tatizo.

Pia, Ukiona unamiliki german car halafu dashboard inawaka mataa kama xmass tree ujue mantainance ya hiyo gari huimudu.

Hiyo taa huwaka kwa sababu kuu mbili tu.

1. Incorrect tyre pressure. Whether imezidi au imepungua.

2. TPMS sensor mbovu, wabongo wengi wakiziba pancha hizi hawazirudishii na hapo ndio majanga yanaanza.

Hizi sensor jamani hazinaga wires hivyo mawasiliano baina ya hiyo TPMS sensor na gari huwa ni wireless.
 
Wazungu wana akili. Mpaka KP motors ije kuwa na hizi sensor zilizozalishwa nchini sijui wao watakuwa wapi.
 
Hii taa kazi yake ni kukuonyesha kuwa tairi zina shida, ndo maana nikasema unless sensor ina matatizo basi badili tairi. Tafsiri yake ni kuwa jiridhishe kuwa hiyo sensor haina shida kupitia diagnosis machine ambayo ipo updated. Sio uende kwa fundi ni fundi unakuta anamashine haiwezi wala kusoma fault za hiyo brand.

Kwanini abadili tyre boss?

Tangu lini tairi zikaja na TPMS sensor?
 
Kama unabadili tyre zote kwa sababu zimeisha sawa.

Ila kama unaenda kubadili kwa sababu ya hiyo taa basi unaenda kutupa hizo pesa.
Hakunielewa, nilimwambia hiyo taa ipo sababu ya tairi. Iwapo sensor ni nzima basi tairi ndo mbovu. Na kwasababu tunajifahamu watanzania tairi zetu tunabadili kwa kuangalia kashata huenda kweli tairi zina shida.
 
Wakuu na wajuzi wa mambo ya magari naombeni msaada, jana wakati naendesha Gari (BMW X3) ghafla Alarm ikalia mara moja tu kucheki Dashboard nikaona Tire Pressure Light imewaka, nikajua tatizo ni upepo, kweli nikapita Mahali kwa pressure kucheki Tyre moja ya nyuma ilikuwa na misumari miwili

Basi nikazibiwa pancha, jamaa akanijazia upepo akacheki na tyres zingine kwa mara ya pili zote zilikuwa sawa lakini nilivyowasha gari Ile Taa pale kwa dashboard haijaondoka, yule jamaa aliyenizibia pancha akanambia Hadi nitembee kidogo ndio ikaondoka

Nimeendesha gari umbali wa zaidi ya kilometers 50 lakini Taa Bado inawaka!

Wenye Experience na hizi BMW hii Taa kuwaka ni kwamba itazima yenyewe? au inaondolewaje maana tatizo kwenye mataili hakuna tenaView attachment 2440310
Extrovert tumwambie au tumuache kwanza???
 
Badilisha tairi, bmw sensor haitambui viraka wala utambi 😂😂😂
 
Hakunielewa, nilimwambia hiyo taa ipo sababu ya tairi. Iwapo sensor ni nzima basi tairi ndo mbovu. Na kwasababu tunajifahamu watanzania tairi zetu tunabadili kwa kuangalia kashata huenda kweli tairi zina shida.

Hiyo sensor inapima Tyre pressure tu, wala siyo kitu kingine chochote. Ndio maana suala la ubovu wa tairi nalikataa.
 
Kwanini abadili tyre boss?

Tangu lini tairi zikaja na TPMS sensor?
images - 2022-12-09T095407.003.jpeg

Hili ni duka la tairi boss. Kuna mtu ananunua na kufunga kwenye gari. Kwann taa izime?
 
Back
Top Bottom